Rais Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari

Halafu kwenye maswla ya majirani ndiye Kimbelembele kujifanya Msuruhishi. Wanajifanya hawajui hata huko wanakokwendaga kusuruhisha mambo yalianza kidogo kidogo kama hapa kwetu.
Msuruhishi
Kusuruhisha.
Ondoa hizo r r r
 
Suala la Mrema ni lake na chama chake. La Kikwete kizungumza ni la Kitaifa kwani aliwahi kuwa Amiri Jeshi Mkuu. Tumia akili kufikiri angalau kidogo.
Kwahiyo mwenye haki ya kuongea ni Amiri jeshi Mstaafu ila Mrema hana haki ya kuongea?
 
Shida ya JK, yuko busy na biashara zake kuacha urithi wa vitukuu+ kusimika mfalme mpya siku za usoni kijana Riz1.

Kwasasa hicho sio kipaumbele chake, target number one ilikuwa kumuweka mtu ili anyooshe mambo yake + kuinstall the living system kwa manufaa inner circle hata yeye akifa.

Ukombozi katika nchi hii utaletwa na Watanzania wenyewe siku wakiamka usingizi na kugundua nchi imetekwa na inaendeshwa na invisibles behind the scene, hao invisibles ambao wanatengeneza utajiri mkubwa wengi wao ni waarabu na wahindi, hawa ndugu zetu wengine wanaotumika kama vitoroli wanaishia kupata hela ya kula tu na kusumbua watu mjini.
 
What if.......?!
 
Yeye hawashiwashwi.
 
Au
Ak0s0e nn ?

Hadharani ?!!
 
Ile familia ina ubinafsi sana usitegemee lolote pale zaidi ya kuchuma zaidi na zaidi
 
Mkuu unajua protocol lakini? Hali ingekuwa tofauti kama Samia na Kikwete wangekuwa vyama tofauti lakini kwa hili anaweza kueleza lakini ushauri kwa Rais ni njia ya kwanza nyingine ni ndani ya Chama.
Ushauri at0e hadharani ?!!
 
Wa giningi amkosoe wa giningi heeeh.??
 
Huyo ndo Rais mwenyewe sasa kama hujui aliyepo ni bosheni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…