Rais Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari

Kikwete ameamua kuondoka hapa duniani kwa AIBU na kuweka heshima yake pembeni kwaajili ya maslahi ya familia yake. INASIKITISHA SANA.
 
Hi
Hivi mnataka Kikwete aongee nini wakati yeye mwenyewe mikono yake imejaa damu? Twambieni wakati Ulimboka anatekwa na kusulubiwa kisa kudai haki za madaktari rais alikuwa nani? Wakati Kubenea anamwagiwa tindikali kisa gazeti lake linafichua madudu ya serikali rais alikuwa nani? au umesahau tukio la Absalom Kibanda,kijana kiongozi wa wahitimu wa jkt aliyetupwa msituni baada ya mateso makali,kutushwa kwa mabomu ya kivita kwenye mkutano wa Chadema Arusha,n.k hayo yote umesahau rais alikuwa nani?
 
Kwahiyo mwenye haki ya kuongea ni Amiri jeshi Mstaafu ila Mrema hana haki ya kuongea?
Kama Mrema angekuwa mwanao ungemfanyaje?? Kila kukicha yuko kwa majirani kukucjafua.
 

Kulikuwa na huu uliomhusu na hata kugharimu maisha ya wengine:

#COVID19 - Waraka wa wazi kwa Marais wetu Wastaafu kuhusiana na hali ya Corona nchini
 
Msanii mwingi, mwasisi wa ufisadi wa kutisha Tanzania, anastahili kuitwa Baba la ufisadi
 
JK mnamuonea tuu jameni. Mzee hana shida na mtu, yupo zake mamtoni anakula bata.
 
Kwa nn asiwe bubu huku familia yake ikila Bata? We kuweza?
 
Nyerere aliwakataza wana CCM tokea mara ya kwanza alivyokuwa anafosi kuingia ikulu. Mkaona mzee wa watu mnoko, kumbe alikuwa anaona mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…