Rais Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari

Kwa huyo ni bora abaki BUBU.
Sioni lolote analoweza kusema huyo na kubadilisha hali iliyopo, kama si kuichochea moto zaidi.
 
FYI sitting 109 Kms West of Dsm, he speaks louder than ears' capacity to hear
 
Suala la Mrema ni lake na chama chake. La Kikwete kizungumza ni la Kitaifa kwani aliwahi kuwa Amiri Jeshi Mkuu. Tumia akili kufikiri angalau kidogo.
Rais mstaafu ana lipi la kumshauri aliyepo madarakani?. Mh. J.M.K angetuachia katiba MPYA kabla hajastaafu, Jina lake lingeandikwa katika vitabu vya nchi yetu Kwa kalamu ya dhahabu.
 
Acha kumlaumu rais mstaafu, Kama unaweza hamasisha raia waweze kudai haki zao.

Haya mambo hayawezekani bila mwamko wa wananchi, raia wasipobadilika hao kina warioba hata wakiongea hakuna kitakachobadilika.
 
Muacheni mstaafu wa watu alee wajukuu
 
Yeye na mwendazake Lowassa waliutaka urais si kwa nanufaa ya nchi bali kujinufaisha wao na familia zao
 
Kikwete hajakaa kimya, Kimwete kamsifia Samia hujamsikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…