Uchaguzi 2020 Rais mtarajiwa 2020 yuko safarini kurudi nyumbani

Rais mwanasheria anaeogopa kufanya maamuzi kisa nchi itashtakiwa MIGA hana msaada kwa Taifa
 
super genious, bravo
 
Kazi kwetu tunaotaka kuirejeshea haki yetu waTanzania kuwa Raia-Huru, Watu-Huru katika nchi yetu kwa kuuondoa utawala wa CCM Mpya kupitia sanduku la kura hapo Oktoba 2020.
 
Hiyo ni ile Kipindi anaenda Marekani kabla ya Covid-19. Tundu Lissu hana uwezo wa kupata kura za URAIS zaidi ya asilimia 2% na watakao mpigia kura ni wale wenye ubovu wa kufikilia.
Kwakweli bora CCM isifanye tu kampeni sio?
 
Sipingi,ila kuna vitu vinajulikana na vinaonekana wazi kabisa haviwezekani,ila bado mtu anakaza mishipa,anakomaa navyo,ni kupoteza mda kiukweli.
Mpka hapo ushapinga watu kama wewe wanafiki sana
 
Zawadi pekee watanzania kumzawadi mpambanaji,shujaa ,mzalendo,mkweli lissu ni urais.

kwan uraisi ushakua ni zawadi? utajua hujui tu, ndo maana kila mkiulizwa mkipewwa nchi mtafanya nn hamna majibu , kazi kwel kwel chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…