Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Nakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano! wa Tanzania, Pole na majukumu na heka heka za uchuguzi.
Kwa usalama wako ndani ya mkutano mkuu, mpinzani mkubwa wako ni January makamba.
Kijana huyu ni mwasiasa mzuri tu na ana ushawishi kutoka kwa vijana na wazee, amejiandaa kisaikolojia, kifedha, na kitechnolojia.
Usisahau huyu amewahi kuwa mshindi wa tatu huku nyuma, katika kura za maoni hivyo kisiasa ana nguvu. Hivyo ukimteua kuwa Balozi labda huko Mexico, au Canada kwa lengo la kumpunguza nguvu kisiasa.
NB: Ukiruhusu kutoa form zaidi ya moja ndani CCM, ndio mwisho wako. Kwanini, kwa sababu wewe huna watu, ndani ya CCM, hao wanaokuzunguka ni wanafiki.
Lakini pia bila shaka 2030, utatamani umuweke mtu wa karibu na wewe, hawa vijana watukusumbua sana.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.