Pre GE2025 Rais mteue January Makamba awe Balozi huko nchi ya mbali kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyo na Nauye ujanja wao ni wizi wa kura, ama kuhonga wagombea wenza kujitoa.

Hawana ushawishi ama popularity yoyote hao, usiwapatie 'meleji' za bure.

Wote hao hawajashawishi maendeleo hata kwao walikozaliwa.
Sasa ushawishi wao ni upi!
Ndani ya wajumbe mkuu ebu ona video hapo juu
 
Nakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano! wa Tanzania, Pole na majukumu na heka heka za uchuguzi.
Kwa usalama wako ndani ya mkutano mkuu, mpinzani mkubwa wako ni January makamba.

Kijana huyu ni mwasiasa mzuri tu na ana ushawishi kutoka kwa vijana na wazee, amejiandaa kisaikolojia, kifedha, na kitechnolojia.

Usisahu huyu amewai kuwa mshindi wa tatu huku nyuma, katika kura za maoni hivyo kisiasa ana nguvu. Hivyo ukimteua kuwa balozi ladba huko Mexico, au Canada kwa lengo la kumpunguza nguvu kisiasa.

NB: Ukiruhusu kutoa form zaidi ya moja ndani CCM ndio mwisho wako. Kwanini, kwa sababu wewe huna watu, ndani ya CCM, hao wanaokuzunguka ni wanafiki.

Lakini pia bila shaka 2030, utatamani umuweke mtu wa karibu na wewe, hawa vijana watukusumbua sana.

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Akaungane na slowslow
 
Hivi kwani mbunge wa kuchaguliwa anaweza kuwa balozi? Mbona wanaogopa sana wakisikia jina la January, huyu jamaa anawapa stress kwakweli.
Nchi hii ni ya kijinga sana watu wasio na Akili ndio wanaonekana wanafaa,hii nchi inaelekea kubaya sana ujinga umekuwa mwingi kuliko Akili,unajiuliza maswali Hv January ana nini ukilinganisha na wenye Akili,kazi tunayo kwa kweli na safari yetu ni ndefu sana.
 
Umeona wale vijana wamejipanga sanaaaa
Siasa mara zote ipo hivyo

Hapa nimetonywa hata namba 3 naye anautaka huo Ukubwa ndiyo sababu ya kutaka kugombea tena Ubunge japo hayupo kwenye Mipango ya kurudishwa kwenye tena kwenye hiyo nafasi aliyopo sasa
 
Ndani ya wajumbe mkuu ebu ona video hapo juu
Hizo zilikuwa ni kampeni za 2015 wakati watu hawajamfahamu vizuri.

Sasa hivi Tz nzima hawana hamu naye, hasa baada ya kulitia Taifa kwenye giza kwa sababu zinazoweza kuzuilika.

Hapo Mungu alikuwa anatuonesha ni aina gani ya binadamu tuliyejidanganya kumpenda.
 
Nchi hii ni ya kijinga sana watu wasio na Akili ndio wanaonekana wanafaa,hii nchi inaelekea kubaya sana ujinga umekuwa mwingi kuliko Akili,unajiuliza maswali Hv January ana nini ukilinganisha na wenye Akili,kazi tunayo kwa kweli na safari yetu ni ndefu sana.

Nchi yetu mizengwa na mifumo mibovu sana ya kifamilia
 
Nakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano! wa Tanzania, Pole na majukumu na heka heka za uchuguzi.
Kwa usalama wako ndani ya mkutano mkuu, mpinzani mkubwa wako ni January makamba.

Kijana huyu ni mwasiasa mzuri tu na ana ushawishi kutoka kwa vijana na wazee, amejiandaa kisaikolojia, kifedha, na kitechnolojia.

Usisahu huyu amewai kuwa mshindi wa tatu huku nyuma, katika kura za maoni hivyo kisiasa ana nguvu. Hivyo ukimteua kuwa balozi ladba huko Mexico, au Canada kwa lengo la kumpunguza nguvu kisiasa.

NB: Ukiruhusu kutoa form zaidi ya moja ndani CCM ndio mwisho wako. Kwanini, kwa sababu wewe huna watu, ndani ya CCM, hao wanaokuzunguka ni wanafiki.

Lakini pia bila shaka 2030, utatamani umuweke mtu wa karibu na wewe, hawa vijana watukusumbua sana.

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Huyo dogo mnapa sifa ambazo Hana
 
Jaj
Umeona ilivyo ngumu Kujiajiri??! Ndugu January hata hujamaliza mwaka Benchi umesha anza kutuma funza na chawa mitandaoni wakuombee ajira urudishwe serikalini??!!! Huwa mkiwa huko bungeni mnaropoka hovyo hovyo vijana wajiajiri, mkitumbuliwa mnaanza kutia huruma. Bogus.
Hahaha mtaani kugumu sana mkuu
 
Nakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano! wa Tanzania, Pole na majukumu na heka heka za uchuguzi.
Kwa usalama wako ndani ya mkutano mkuu, mpinzani mkubwa wako ni January makamba.

Kijana huyu ni mwasiasa mzuri tu na ana ushawishi kutoka kwa vijana na wazee, amejiandaa kisaikolojia, kifedha, na kitechnolojia.

Usisahu huyu amewai kuwa mshindi wa tatu huku nyuma, katika kura za maoni hivyo kisiasa ana nguvu. Hivyo ukimteua kuwa balozi ladba huko Mexico, au Canada kwa lengo la kumpunguza nguvu kisiasa.

NB: Ukiruhusu kutoa form zaidi ya moja ndani CCM ndio mwisho wako. Kwanini, kwa sababu wewe huna watu, ndani ya CCM, hao wanaokuzunguka ni wanafiki.

Lakini pia bila shaka 2030, utatamani umuweke mtu wa karibu na wewe, hawa vijana watukusumbua sana.

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Huyo ni Presidential candidate 2025? Au wanamuogopa wasio na sifa?
 
tuacheni kujidanganya , January hawezi shindana na Mh. Raisi, hata ikitokea akimshinda kura za maoni, lkn Raisi ataendelea kuwa madarakani na akainfluence upinzani kushinda. tukumbuke ana mamlaka ya kuteua tume ya uchaguzi
 
Nakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano! wa Tanzania, Pole na majukumu na heka heka za uchuguzi.
Kwa usalama wako ndani ya mkutano mkuu, mpinzani mkubwa wako ni January makamba.

Kijana huyu ni mwasiasa mzuri tu na ana ushawishi kutoka kwa vijana na wazee, amejiandaa kisaikolojia, kifedha, na kitechnolojia.

Usisahu huyu amewai kuwa mshindi wa tatu huku nyuma, katika kura za maoni hivyo kisiasa ana nguvu. Hivyo ukimteua kuwa balozi ladba huko Mexico, au Canada kwa lengo la kumpunguza nguvu kisiasa.

NB: Ukiruhusu kutoa form zaidi ya moja ndani CCM ndio mwisho wako. Kwanini, kwa sababu wewe huna watu, ndani ya CCM, hao wanaokuzunguka ni wanafiki.

Lakini pia bila shaka 2030, utatamani umuweke mtu wa karibu na wewe, hawa vijana watukusumbua sana.

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
We mchepuko wake. Mfanye awe rais au balozi wa familia yenu. Njaa inakusumbua. Huyo kilaza mbaki naye huko kama unampenda sana mzalie watoto wengi. Hatutaki takataka hizo tena.
 
January makamba.
Kijana huyu ni mwasiasa mzuri tu na ana ushawishi kutoka kwa vijana na wazee, amejiandaa kisaikolojia, kifedha, na kitechnolojia.

Usisahu huyu amewai kuwa mshindi wa tatu huku nyuma, katika kura za maoni hivyo kisiasa ana nguvu.
naunga mkono hoja January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
NB: Ukiruhusu kutoa form zaidi ya moja ndani CCM ndio mwisho wako.
utoaji fomu moja ndio utaratibu wa CCM na sio hoja ya mtu yoyote kuruhusu。
Kwanini, kwa sababu wewe huna watu, ndani ya CCM,
si kweli,wana CCM wote kwa sasa mtu wao ni mmoja tuu, the one and only yeye。
hao wanaokuzunguka ni wanafiki.
ni baadhi tuu na sii wote。
Lakini pia bila shaka 2030, utatamani umuweke mtu wa karibu na wewe, hawa vijana watukusumbua sana.

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
2030 ni mwaka wa kiama, ama zao ama zetu Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
 
Kuna tikitaka zitachezwa dakika ya mwisho 2025 wote tutabaki midomo wazi. Marejeo ya 2015 yanakuja. Mtaastajabu hata chura mwenyewe asiwe mgombea.
 
Back
Top Bottom