Ajabu waziri wa utumishi kuagiza ukaguzi kwenye wizara nyingine!
Yaani mkwe wa Rais, anaagiza ukaguzi wizara ya madini ili wahalalishe kumtumbua Dotto ambae ni team Magufuli ili waweke mtu wao!
Sasa mtumbueni huyo kijana tuendelee na mambo mengine haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania lakini hapana shaka mipango inajulikana ilikoanzia ionekane Dotto ana makosa ili aondokewe maana baada ya kuapishwa ulitamka kitalu C cha serikali na mkwe wako karudia kule kule hivo hakuna shaka twende kazi.