Rais Mtoe Dotto Biteko ili lengo lenu litimie

Ajabu
Waziri wa utumishi kuagiza ukaguzi kwenye wizara nyingine!
Yaani mkwe wa Rais, anaagiza ukaguzi wizara ya madini ili wahalalishe kumtumbua Dotto ambae ni team magufuli ili waweke mtu wao!
Sasa mtumbueni huyo kijana tuendelee na mambo mengine haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania lakini hapana shaka mipango inajulikana ilikoanzia ionekane Dotto ana makosa ili aondokewe maana baada ya kuapishwa ulitamka kitalu C cha serikali na mkwe wako karudia kule kule hivo hakuna shaka twende kazi.
Mbona enzi za Jiwe Mkuu wa mkoa wa waswahili alikua akipiga mikwara mawaziri mkiwa kimyaa,
 
Mkuu umeandika kwa uchungu sana, bila paragraph na bila nukta isipokuwa moja tu mwishoni mwa bandiko lako 😁😁.

Kwamba?

" ... haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania ...."

Umewasahau Sabaya na Kondakta walivyo kuwa wakitisha na kuamuru wote across the board? Mwulize Majaliwa kukupa mrejesho.

Yule aliyekuwa iringa si alikuwa anawakoromea hadi kina JK?

Ama kweli mu wepesi kusahau. Si mhamie Umoja party huko, ili mkadumishe kauli mbiu yenu ya "Huko Kazi Tu?"

Hiiiiii bagosha!
Usiseme yule wa Iringa, sema Ally Happy!
 
Ajabu
Waziri wa utumishi kuagiza ukaguzi kwenye wizara nyingine!
Yaani mkwe wa Rais, anaagiza ukaguzi wizara ya madini ili wahalalishe kumtumbua Dotto ambae ni team magufuli ili waweke mtu wao!
Sasa mtumbueni huyo kijana tuendelee na mambo mengine haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania lakini hapana shaka mipango inajulikana ilikoanzia ionekane Dotto ana makosa ili aondokewe maana baada ya kuapishwa ulitamka kitalu C cha serikali na mkwe wako karudia kule kule hivo hakuna shaka twende kazi.
Kuimba kupokelezana.. sasa toeni ushirikiano sio gubu..!
 
Ajabu
Waziri wa utumishi kuagiza ukaguzi kwenye wizara nyingine!

Yaani mkwe wa Rais, anaagiza ukaguzi wizara ya madini ili wahalalishe kumtumbua Dotto ambae ni team Magufuli ili waweke mtu wao!

Sasa mtumbueni huyo kijana tuendelee na mambo mengine haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania lakini hapana shaka mipango inajulikana ilikoanzia ionekane Dotto ana makosa ili aondokewe maana baada ya kuapishwa ulitamka kitalu C cha serikali na mkwe wako karudia kule kule hivo hakuna shaka twende kazi.
Tulia dawa iingie kwani kukaguliwa kama hamna tatizo wasiwasi unatoka wapi

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kuna wizara ndogo na kubwa hawana Hadhi Sawa. Watumishi wote wapo chini wizara yake hivyo hata watumish wa wizara ya madini ni wa kwake ana wajibu wa kuamua vyovyote
 
Back
Top Bottom