Rais Mtoe Dotto Biteko ili lengo lenu litimie

Ajabu
Waziri wa utumishi kuagiza ukaguzi kwenye wizara nyingine!

Yaani mkwe wa Rais, anaagiza ukaguzi wizara ya madini ili wahalalishe kumtumbua Dotto ambae ni team Magufuli ili waweke mtu wao!

Sasa mtumbueni huyo kijana tuendelee na mambo mengine haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania lakini hapana shaka mipango inajulikana ilikoanzia ionekane Dotto ana makosa ili aondokewe maana baada ya kuapishwa ulitamka kitalu C cha serikali na mkwe wako karudia kule kule hivo hakuna shaka twende kazi.
Unataka kutuambia kwamba kuna team magufuli na team samia? Wapinzani mmewafukuza sasa mnararuana wenyewe msivyo na maarifa
 
Akina msiba walikuwa na cheo gani kwa kuwasema viongozi wastaafu ???? Mbona haukukemea???? Umesahau
 
Team magu? He! Ccm ni moja timu zilishavunjwa kitambo sana baada ya uchaguzi mkuu. Kama bado kuna timu magu basi zipo timu nyingi tu zinasubiri wakati wao na nao watambe uongozini
 
Nyie wana ccm acheni hayo mambo ya kupalilia timu zenu, mtatengeneza jinamizi baya sana la kukipasuapasua chama chenu na hatimaye kukisambaratisha muandike historia mpya ya nchi. Hizo timu si za kukuzwa kwa mustakabali wa chama chenu, mtakiua chama chenu kwa mikono yenu wenyewe
 
Mkuu umeandika kwa uchungu sana, bila paragraph na bila nukta isipokuwa moja tu mwishoni mwa bandiko lako 😁😁.

Kwamba?

" ... haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania ...."

Umewasahau Sabaya na Kondakta walivyo kuwa wakitisha na kuamuru wote across the board? Mwulize Majaliwa kukupa mrejesho.

Yule aliyekuwa Iringa si alikuwa anawakoromea hadi kina JK?

Ama kweli mu wepesi kusahau. Si mhamie Umoja party huko, ili mkadumishe kauli mbiu yenu ya "Huko Kazi Tu?"

Hiiiiii bagosha!
Acha mbwembwe na maneno mengi,tuambie niwaziri yupi aliyeitisha uchunguzi au kuunda tume Kwa ajili ya kumchunguza mwenzake?na simlikuwa mnasema Magufuri alikuwa afuati sheria na taratibu,Samia amekuja kurekebisha aliyoyaharibu Magufuri,huko ndio kulekebisha au anarudia ya mangulizi wake?antMagufuri mnakazi Sana kumsafisha Samia 😆😆😄😃😀
 
Ajabu
Waziri wa utumishi kuagiza ukaguzi kwenye wizara nyingine!

Yaani mkwe wa Rais, anaagiza ukaguzi wizara ya madini ili wahalalishe kumtumbua Dotto ambae ni team Magufuli ili waweke mtu wao!

Sasa mtumbueni huyo kijana tuendelee na mambo mengine haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania lakini hapana shaka mipango inajulikana ilikoanzia ionekane Dotto ana makosa ili aondokewe maana baada ya kuapishwa ulitamka kitalu C cha serikali na mkwe wako karudia kule kule hivo hakuna shaka twende kazi.
Iliwahi kutokea mkuu wa mkoa kuwatisha na kuwakagua mawaziri.
 
Acha mbwembwe na maneno mengi,tuambie niwaziri yupi aliyeitisha uchunguzi au kuunda tume Kwa ajili ya kumchunguza mwenzake?na simlikuwa mnasema Magufuri alikuwa afuati sheria na taratibu,Samia amekuja kurekebisha aliyoyaharibu Magufuri,huko ndio kulekebisha au anarudia ya mangulizi wake?antMagufuri mnakazi Sana kumsafisha Samia 😆😆😄😃😀

Sabaya, Makonda, Hapi na wenzao walifanya makubwa kuliko yote uliyoandika. Sasa tulieni kidooogo:

IMG_20210829_032751_977.jpg
 
Ajabu
Waziri wa utumishi kuagiza ukaguzi kwenye wizara nyingine!

Yaani mkwe wa Rais, anaagiza ukaguzi wizara ya madini ili wahalalishe kumtumbua Dotto ambae ni team Magufuli ili waweke mtu wao!

Sasa mtumbueni huyo kijana tuendelee na mambo mengine haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania lakini hapana shaka mipango inajulikana ilikoanzia ionekane Dotto ana makosa ili aondokewe maana baada ya kuapishwa ulitamka kitalu C cha serikali na mkwe wako karudia kule kule hivo hakuna shaka twende kazi.
TISS unaifahamu? Mkwe yuko huko, wakati anawatuma Takukuru wao walishamaliza kazi yao huko mererani. Doto tafura kazi nyingine au kaanzishe mduara huko mbogwe .
 
Mkuu umeandika kwa uchungu sana, bila paragraph na bila nukta isipokuwa moja tu mwishoni mwa bandiko lako [emoji16][emoji16].

Kwamba?

" ... haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania ...."

Umewasahau Sabaya na Kondakta walivyo kuwa wakitisha na kuamuru wote across the board? Mwulize Majaliwa kukupa mrejesho.

Yule aliyekuwa Iringa si alikuwa anawakoromea hadi kina JK?

Ama kweli mu wepesi kusahau. Si mhamie Umoja party huko, ili mkadumishe kauli mbiu yenu ya "Huko Kazi Tu?"

Hiiiiii bagosha!
Hao akina JK,Sijui Sabaya ni mawaziri na walikua wanakoromea mawaziri?
 
Ajabu
Waziri wa utumishi kuagiza ukaguzi kwenye wizara nyingine!

Yaani mkwe wa Rais, anaagiza ukaguzi wizara ya madini ili wahalalishe kumtumbua Dotto ambae ni team Magufuli ili waweke mtu wao!

Sasa mtumbueni huyo kijana tuendelee na mambo mengine haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania lakini hapana shaka mipango inajulikana ilikoanzia ionekane Dotto ana makosa ili aondokewe maana baada ya kuapishwa ulitamka kitalu C cha serikali na mkwe wako karudia kule kule hivo hakuna shaka twende kazi.
we ni mpuuzi, kwaiyo huyo doto wenu hata kama anafanya ufisadi hasitolewe hiyo wizara kisa aliwekwa na dikteta
 
Yapi mbona hautaki kuyasema?Kwanza unajua kazi ya mkuu wa mkoa na kazi ya Waziri au mnaharalisha upumbavu.

Tuna ya muhimu zaidi tafadhali. Madogo madogo hayo kamwulize huyo hapo atakupa mrejesho:

IMG_20211118_181728_474.jpg

Wadhani kuchanganyikiwa huko ni bure?
 
Sisi ndio tumeshikilia amani ya hii nchi
Jaribuni kuivunja hiyo amani,tutawapiga Hadi shangazi zenu wapuuzi nyie,

jiwe ndio alikuwa muhasisi wa maujinga yote na ukabila, serikalini alijaza kabila lake
 
Ajabu
Waziri wa utumishi kuagiza ukaguzi kwenye wizara nyingine!

Yaani mkwe wa Rais, anaagiza ukaguzi wizara ya madini ili wahalalishe kumtumbua Dotto ambae ni team Magufuli ili waweke mtu wao!

Sasa mtumbueni huyo kijana tuendelee na mambo mengine haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania lakini hapana shaka mipango inajulikana ilikoanzia ionekane Dotto ana makosa ili aondokewe maana baada ya kuapishwa ulitamka kitalu C cha serikali na mkwe wako karudia kule kule hivo hakuna shaka twende kazi.
Ukweli ni kuwa wezi wa mchana wameondoka, na sasa wameingia wezi wa usiku. CCM ni ile ile haijalishi ni awamu ya ngapi.
 
Jaribuni kuivunja hiyo amani,tutawapiga Hadi shangazi zenu wapuuzi nyie,

jiwe ndio alikuwa muhasisi wa maujinga yote na ukabila, serikalini alijaza kabila lake
Ni kweli. Lakini na huyu naye ameingia na watu wake, bila kuzingatia ubora. Hapo ndipo kwenye tatizo.
 
Back
Top Bottom