Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwa wote ni level moja .Ni sawa waziri kuagiza ukaguzi kwenye wizara nyingine?
Kwani utawala bora unaangukia kwa nani? Ingawa ni kweli kwenye level moja ya authority, hii ilitakiwa ifanywe na boss sio waziri kama yeyeAjabu waziri wa utumishi kuagiza ukaguzi kwenye wizara nyingine!
Yaani mkwe wa Rais, anaagiza ukaguzi wizara ya madini ili wahalalishe kumtumbua Dotto ambae ni team Magufuli ili waweke mtu wao!
Sasa mtumbueni huyo kijana tuendelee na mambo mengine haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania lakini hapana shaka mipango inajulikana ilikoanzia ionekane Dotto ana makosa ili aondokewe maana baada ya kuapishwa ulitamka kitalu C cha serikali na mkwe wako karudia kule kule hivo hakuna shaka twende kazi.
Sukuma GANG, walifikiri hawatakuja kuisoma namba, haaa haaa dunia duara, kutesa kwa zamu, nani alijua Polepole atayazungumza haya akaachia VIETE.Ila na Ninyi mmezidi gubu aisee kama Mwijaku.
That was a typing errorAngalia ulichonukuu na ulichoandika kwanza kujiridhisha umenukuu sawa? Pili kujiridhisha unasema au unauliza?
View attachment 2019264
Elimu! Ninakazia tena Elimu!
Hiiiiii bagosha!
Sometimes jaribuni kidogo kuwa na Akili muwapo hapa JamiiForums na tusianze Kuwadharau sawa?
Ni wapi katika Katiba ya Tanzania iliandikwa kuwa Dotto Biteko atakuwa Waziri wa Milele?
Kwahiyo kama Dotto Biteko na Wizara yake kuna Madudu yasisemwe au yasihojiwe? Is he Untouchable?
Halafu kwani Rais fulani akiingia n kutaka kuweka Safu yake anayoiamini ni Dhambi na Mwiko?
Acheni kutulazimisha tunaoyajua Mabaya ya Dotto Biteko tuyaweke hapa kisha mshangae na mumchukie.
Kwani hawezi Kuchunguzwa na akiwa Msafi akaachwa na akaendelea na Uwaziri wake?
Kuna Watu hapa mnaboa tu kwa Uzuzu.
Wewe ndio ulikuwa opp kabisaAjabu waziri wa utumishi kuagiza ukaguzi kwenye wizara nyingine!