Mkuu umeandika kwa uchungu sana, bila paragraph na bila nukta isipokuwa moja tu mwishoni mwa bandiko lako 😁😁.
Kwamba?
" ... haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania ...."
Umewasahau Sabaya na Kondakta walivyo kuwa wakitisha na kuamuru wote across the board? Mwulize Majaliwa kukupa mrejesho.
Yule aliyekuwa Iringa si alikuwa anawakoromea hadi kina JK?
Ama kweli mu wepesi kusahau. Si mhamie Umoja party huko, ili mkadumishe kauli mbiu yenu ya "Huko Kazi Tu?"
Hiiiiii bagosha!