Trab na Trat
Member
- Sep 30, 2022
- 34
- 74
😂😂😂😂natamani baba yangu nae angekuwa msomi kama baba yake kainerugabaRais wa Uganda Yoweri Museveni amempandisha cheo mtoto wake Muhoozi Kainerugaba, kutoka kwenye cheo cha Luteni Jenerali hadi kuwa Jenerali. Kupitia ukurasa wake wa Twitter Jenerali Kainerugaba, amemshukuru baba yake kwa kumpa nafasi hiyo.
Ndio tunaziita 'TUNU ZA KIAFRICA' 😄😄Waafrica tuna vitu vyetu unique hauvipati kokote kulee duniani
UfalmeMaajabu ya africa
Baba Rais
Mama waziri
Mtoto General wa jeshi
Hahahahaha eti waragi umenikumbusha mbali mkuuWaragi inamuendesha sana huyo dogo.
Bara la Africa tumelogwaRais wa Uganda Yoweri Museveni amempandisha cheo mtoto wake Muhoozi Kainerugaba, kutoka kwenye cheo cha Luteni Jenerali hadi kuwa Jenerali. Kupitia ukurasa wake wa Twitter Jenerali Kainerugaba, amemshukuru baba yake kwa kumpa nafasi hiyo.
Bangi..
Jamaa anakera😅