Rais Museveni ampandisha cheo mwanae kuwa Jenerali wa Jeshi

Rais Museveni ampandisha cheo mwanae kuwa Jenerali wa Jeshi

Bwana museveni ameshindwa kutegua mtego wa mrithi wake,kisha aondoke madarakani kwa amani,Pamoja na sababu za umasikini africa za nje na ndani: sababu za ndani walau hata kiduchu ameshindwa kizitatua...
 
Rais Museveni kamuonea huruma kapandishwa badala ya kumshushwa cheo , Muhoozi Kainerugaba atulie asubiri 2026
 
Dogo kalewa warag anaota kuwa mkuu wa majeshi eac .huyu akija bongo nafasi yake kubeba mizigo wakati wa maonesho ya siku ya uhuru pale taifa
 
Ninashanga Uganda imeomba radhi Kenya badala ya huyo mpumbavu kuomba radhi
Na yule akiwa rais anakua full dikteta ana tabia zote za udikteta anaamin sana kwenye nguvu na sio akili

Vita vya Ukraine vilipoanza akaiponda marekani wazi wazi kwenye Twitter Sasa nikasema hivi huyu anaakili kweli kila mtu anajua marekani anakosea lakin kumponda wazi wazi hakuna ulazima wa yeye kufanya hivyo sasa nikajiulza akiwa rais itakuaje sababu Hana staha wala
 
Back
Top Bottom