Rais Museveni ampandisha cheo mwanae kuwa Jenerali wa Jeshi

Rais Museveni ampandisha cheo mwanae kuwa Jenerali wa Jeshi

Kivipi hakumaliza 1970 pili kuna wajinga wengi tu wako waliosoma enzi hizo hata museveni ji mjinga tu,huwezi kuweka familia nzima iongoze nchi na kutesa wapinzani
Mbona hamuongelei family ya kikwete mnaongelea family ya mseveni tu?
 
Na yule akiwa rais anakua full dikteta ana tabia zote za udikteta anaamin sana kwenye nguvu na sio akili

Vita vya Ukraine vilipoanza akaiponda marekani wazi wazi kwenye Twitter Sasa nikasema hivi huyu anaakili kweli kila mtu anajua marekani anakosea lakin kumponda wazi wazi hakuna ulazima wa yeye kufanya hivyo sasa nikajiulza akiwa rais itakuaje sababu Hana staha wala
Huoni EU inapinga bomba la mafuta? Sio bahati mbaya
 
Back
Top Bottom