Rais Museveni asaini muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja

Rais Museveni asaini muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja

My Take: Vikwazo vikiwekwa watakaoumia ni nyasi wala sio kina Museveni, so watu wawe tayari kwa matokeo.

--

President Museveni has signed the anti-gay bill into law following improvements adopted to make it tougher for people engaging in LGBQT.

"President Museveni has executed his constitutional mandate as prescribed by Article 91 (3) (a) of the 1995 Constitution- and assented to the Anti-Homosexuality Act, 2023," parliament Speaker Anita Among confirmed on Monday.

"We have stood strong to defend the culture, values and aspirations of our people as per objectives 19 & 24 of our national objectives and directive principles of state policy," she added.

Amidst threats for sanctions, Parliament modified the bill on May 2 after its initial March 21 draft sparked international condemnation for targeting people identifying as LGBQT.

Consequently, Museveni’s April 20 proposal for a review of the legislation aimed to improve the law to instead punish same-sex actors and its promoters amongst minors in the hardline socially conservative East African nation.

On Monday, Among tweeted "encouraging duty bearers under the law to execute the mandate bestowed upon them in the Anti-Homosexuality Act."

"The people of Uganda have spoken, and it is your duty now to enforce the law in a fair, steadfast, and firm manner," she added.

Activists have previously vowed a court challenge to what is now the Anti-Homosexuality Act 2023, citing controversial provisions that include extreme punishments for offenders.

Additionally, the law was nullified in 2014 even after the veteran Ugandan leader had assented to it.

Source: Monitor
Amefanya vizuri sana! Anayeweka vikwazo kwaajili ya ushenzj wa sodoma na gomola na anayekubali ushoga eti kwa kuogopa vikwazo wote walaaniwe sana!
 
Naona Spika wao amepigwa ban kuingia US... sometimes unajiuliza hawa jamaa wananufaika vp na mapunga na wasagaji?
 
Viongozi wa Africa inabidi wawe na ujasiri kama huyu mzee kukemea ufedhuli kwa vitendo.
 
Mliosema Museveni hatosaini sheria ya Ushoga mna hali gani?Mashoga wengi hufa mapema.

Humu kuna watu walikua wanambeza Museveni kuwa hawezi kusaini ile sheria ya Ushoga finally he did

Wengine wakaja mpaka na thread za kukejeli kuwa hana ubavu wa kutia saini eti misaada sijui mikopo hatimaye kasaini

Hii sheria ni nzuri na ngumu sana kwa ingefaa ingekuja na hapa kwetu lakini navyoona nchi nyingi zitaiga huu utaratibu wa Uganda

Ni huzuni kuona watu humu baadhi wanatetea huu ushetani, nafahamu kabisa hawana vizazi, maana mtu ambaye ana mke au ana mume au ana watoto hawezi kutetea huu upuuzi hata kidogo otherwise uwe huna kizazi

Kuna watu watakufa hawana wake wala watoto kwasababu wapo kwenye huo upande mbaya kibaya zaidi watu wanaofanya hii michezo hufariki haraka sana.

NB:Japokuwa jf ni jukwaa huru la kutoa maoni, ila ingefaa kabisa wanaonekana ni "mashoga" humu wanaojitangaza moja kwa moja au isivyo moja kwa moja waondolewe tu humu maana wanajulikana kabisa tufanye kama ilivyokua zamani mashoga walikuwa wakipigwa life ban wanachofanya ni upuuzi mtupu
 
Mliosema Museven hatosaini sheria ya Ushoga mna hali gani?Mashoga wengi hufa mapema.

Humu kuna watu walikua wanambeza Museven kuwa hawezi kusaini ile sheria ya Ushoga finally he did...
CIA na FBI wanaye, his life is limited. mark this sentense
 
Pamoja na kutia saini sheria kali ya kuwaadhibu mashoga ikiwepo kuwanyonga,juzi NGO Moja imekwenda mahakamani kwenda kupinga sheria hiyo ya Bunge la Uganda ambapo museveni alitia saini.Wajuzi na wafuatiliaji wa siasa za Uganda wametafsiri kwamba NGO hiyo imetumwa na Museveni mwenyewe ili sheria hiyo ikakataliwe na mahakama,ambapo itakuwa imemtoa museveni kwenye Lawama za wananchi kwamba yeye alishatekeleza wajibu wake.Na hivyo kujitoa na kuinusuru nchi na vikwazo vya Wazungu.
 
Nilidhani mwanzo alikataa kusaini kwa kipengele cha kuuwa na ndio wakaibadili
Ila haitasaidia nafikiri wanaweza kuwa eliminate taratibu na kuwapunguza

Silaha zipo na zinapigwa vumbi tu
 
Pamoja na kutia saini sheria kali ya kuwaadhibu mashoga ikiwepo kuwanyonga,juzi NGO Moja imekwenda mahakamani kwenda kupinga sheria hiyo ya Bunge la Uganda ambapo museveni alitia saini.Wajuzi na wafuatiliaji wa siasa za Uganda wametafsiri kwamba NGO hiyo imetumwa na Museveni mwenyewe ili sheria hiyo ikakataliwe na mahakama,ambapo itakuwa imemtoa museveni kwenye Lawama za wananchi kwamba yeye alishatekeleza wajibu wake.Na hivyo kujitoa na kuinusuru nchi na vikwazo vya Wazungu.
Lakini kwanini wazungu wanaabudu uffirajji?
 
Back
Top Bottom