Rais Museveni awaomba msamaha Wakenya kufuatia Tweets za uvamizi alizoweka mwanaye Jenerali Muhoozi

Rais Museveni awaomba msamaha Wakenya kufuatia Tweets za uvamizi alizoweka mwanaye Jenerali Muhoozi

Yaani yule kijana wake alitakiwa afukuzwe kabisa jeshini sio kupandishwa cheo, Museveni ni mjanja mjanja na huyu Dogo anaandaliwa kuja kushika madaraka makubwa mbeleni na ndio maana baba yake hataki kumtoa mbali na ngazi za juu jeshini yaani mtu kaharibu uwaziri wa ardhi unampa cheo cha uwaziri mkuu hahaha
 
I guess tunajenga utani wa jadi kati ya wana Afrika Mashariki.
 
Dogo alikua amepitiliza utani, alisema aliyekua rais, Uhuru Kenyatta asingeondoka kizembe, kwamba angeng'ang'ania madaraka kwa awamu nyingine na kwamba angepuuza katiba na zaidi akasema ana uwezo wa kuiteka Nairobi kwa iku mbili tu.

Japo mimi binafsi sioni haja ya kupanic, haya ni mautani ya kawaida sana....hapakua na haja ya rais kutolea tamko...

Ugandan President Yoweri Museveni on Wednesday apologised to Kenya for tweets sent out by his son Gen Muhoozi Kainerugaba.

Gen Muhoozi had tweeted that it would take two weeks for him and his army to capture Nairobi. He went ahead to tell tweeps to suggest where he should live in Nairobi. He also said he would have wished Kenya’s former president Uhuru Kenyatta to seek a third term, saying he would have won.
 
Back
Top Bottom