Rais Museveni awaomba rasmi msamaha Waganda. Bado nyie CCM!

M7
 
Mtu kamwe asikwepe haki kufanyika kwa kisingizio cha kuomba msamaha hiyo haikubaliki na sheria lazima itachukua mkondo wake.

nemo est supra leges
No one is above the law.
 
Buganda kingdom wameanza vuguvugu la chinichini la kupingana waziwazi na m7. Na Wana ushawishi mkubwa Uganda m7 kachungulia kaona atatolewa ikulu ya nakasero very soon kaanza kuomba poo 😂
 
Waganda fanyeni jambo la busara
Jamaa wapumzike sasa waachue hatamu
Hivi hata aibu hawaoni?
 
M7 ametawala miaka 36 na bado anagombea next term, mtoto wake ni CDF na mwingine ni Boss wa Bank kuu ya uganda, wife ni waziri , kuomba msamaha ni kick tu, yeye ndyo Mfalme wa nchi, next President baada ya yeye kuchoka atakuwa ni mwanaye Gen Muhozi (CDF), hiyo hali unailinganishaje na siasa za TZ????
 
Ni walewale tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…