Nilisema mtakuja.Huyo mufti mwenyewe salama? Yaani hajasikia habari zooote za maendeleo Africa, uzuri wa Zanzibar, vita vya Sudan nk nk. Lakini habari za kufiranaa kapata haraka hivi? Huyu vipi? Nina wasiwasi na huyu babu.
Mwanaume unaona raha kabisa 'kupigwa nao'?Ila ninaheshimu alichosema Papa wa kikatoliki kuhusu ushoga. Haki za binadamu zizingatiwe.
Kuna haki za binadamu lakini hiyo ya kufokonyolewa nyie mliolaaniwa msitunajisi tafuteni nchi yenuIla ninaheshimu alichosema Papa wa kikatoliki kuhusu ushoga. Haki za binadamu zizingatiwe.
Qur'an 3:103...Mwenyezi Mungu anakubainishieni Ishara zake ili mpate kuongoka. 103Huyo mufti ahubirie pia Wapwani, ukanda wote huo umejaa ushoga sana na ndiko dini yake imetamalaki.
Siwezi kuunga mkono ushetani.Nilikuwa sijakuelewa nikafikiri ni wale wale wanaoshadidia ushoga, mpaka nilipoona post yako ya kumuunga mkono Museveni.
Nilikuwa sijakuelewa nikafikiri ni wale wale wanaoshadidia ushoga, mpaka nilipoona post yako ya kumuunga mkono Museveni.
Kweli kabisa, tuwaunge mkono.
Hilo beat la muda tu!
Ninamuunga mkono Museveni kwa [emoji817]% na ninasikitishwa na kiongozi wangu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Papa Francis, kuunga mkono huu ushenzi. Au hili jina 'Papa' ndo tatizo hadi anabehave vile?