binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Bila shaka unafanya kazi KIA. ๐Nafanya mishe kiwanja x cha mwewe sasa wale jamaa wakija waarabu mnapanga mstari mnakatiwa hela nzuri tu ya kula ๐ unaona sheikh maamae kapiga kilemba ile yenyewe anakuja na mpunga mlipo, akianza kugawa unaskia anasema bismillah๐๐
ah hamna ww sio KiaBila shaka unafanya kazi KIA. ๐
Ndio kwano uongo?
Abwabwaje kwa lipi sasa? Huyo mu7 anamtisha nn Biden, awadanganye nyie wananchi wake mumuone wa maana lolKamgomea kubadili sheria ya mashoga ,we uoni hadi Biden anabwabwaja tu.
Naunga mkono kwa 100%
Ndo kashagoma hakuna kupandanaAbwabwaje kwa lipi sasa? Huyo mu7 anamtisha nn Biden, awadanganye nyie wananchi wake mumuone wa maana lol
Naunga mkono hoja japo watakupinga ila ukweli lazima usemwe watolewe eUshoga HAPANA!, leo umekuja vizuri ila kuna ambao wapo uku na ID zao zinajulikana kama vipi anzisha kampeni tuyatoe uku yananuka nya
Achana na hao mashoga watakusumbua tu kuwajibu!!Mwanamme kugeuzwa mwanamke ni haki?
Binafsi namuunga mkono Museveni 100 %. Vipi wewe?
Hakuna utiifu katika kumuasi mwenyezi Mungu.Ninamuunga mkono Museveni kwa ๐ฏ% na ninasikitishwa na kiongozi wangu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Papa Francis, kuunga mkono huu ushenzi. Au hili jina 'Papa' ndo tatizo hadi anabehave vile?
Kweli mkuu kukaa nayo uku yatatuletea nuksiNaunga mkono hoja japo watakupinga ila ukweli lazima usemwe watolewe e
Kule Marekani?Mimi tangu nazaliwa hadi nakuwa mzee nimekuwa nikisikia Ulawiti na ushoga hufanywa na Waarabu na watu wa Pwani kama Zanzibar na Mombasa
Wameathirika sana na utumwa kwao mwarabu ni msafi ila walioenda huko hasa mabinti wameaona shuruba ya hao jamaa ni jamii katili sana.Unajua wanaamini Christians wanaunga mkono huu ushetani kumbe sivyo, pia angeweza kumpongeza mzee mseven pasipo kuattach na kitu kingne. Ila she is doing gud kupinga ushoga
Mbona sheikh wenu alimfananisha jiwe na mitume na mkaufyata?unafiki ni sehemu ya maisha yenu.Yule mzanzibar shoga ni swala tano!Hakuna utiifu katika kumuasi mwenyezi Mungu.
Sisi kwenye uislamu jambo hata kama liwe limesemwa na baba yako, mama yako ,kiongozi wako wako dini unayemuheshimu , kiongozi wako wa kitaifa.
Hakuna kumtii yeyote kati yao kama jambo hilo ni la kumuasi mwenyezi Mungu
Huyo mufti ahubirie pia Wapwani, ukanda wote huo umejaa ushoga sana na ndiko dini yake imetamalaki.
Kisa ni muislam mnaanza kupinga na kutetea vitu vya ajabu ,we mkenya una matatizo gani na uislam ,wakristo wenzio wanakushangaa kila cku na mada zako za kichoko choko
haswaaa huyu bimama kila atakachoandika ni polish kwa uislamIssue hapo ni mufti mkuu wa Oman tu, lipia hilo tangazo.