Rais Mwinyi awakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319

T
Tumia akili yako VIZURI, ingekuwa hivyo angemrithi magufuli.
 
Wazenji watu wa hovyo sana wamepanga kuharibu na kuiba Tanganyika muda sana na sasa wanafanya ujambazi huku Tanganyika, wazenji wote akili matope

Be honest, kati ya sisi wabongo wengi kwa idadi, na wao wazenji wachache wanaotupelekesha kwenye muungano miaka kadhaa, na sasa wameanza kututawala na kuuza rasilimali zetu, nani akili matope?
 
Rais wa Zanzibar anapata wapi mamlaka ya kugawa uraia wa Tanzania kwa watu? Au umekosea ni kuwa rais wa Zanzibar.
Wataalamu kama kweli amefanya hayo haijavunja katiba yetu?
 
Japo siipendi CCM, lakini nawaonea wivu sana wazanzibari kwa huyu kiongozi waliyenae.

Wenzao huku tuna debe tupu kabisa.
πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜„πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†
 
Alikuwa wapi asiapishwe kuwa rais wa JMT alipofariki Shujaa?
 
Wahamiaji wasiohamishika je hao watu ni nyumba, miti, mito au majabali ardhini?Kisiju mpaka mjini magharibi
 
Wazenji watu wa hovyo sana wamepanga kuharibu na kuiba Tanganyika muda sana na sasa wanafanya ujambazi huku Tanganyika, wazenji wote akili matope
Sasa hapo wa hovyo na akili matope ni yupi Anaekubali kuongonzwa na mtu wa ovyo na Akili matope yeye ni wa hovyo na Akili matope zaidi pole sana
 
Rais wa Zanzibar anapata wapi mamlaka ya kugawa uraia wa Tanzania kwa watu? Au umekosea ni kuwa rais wa Zanzibar.
Wataalamu kama kweli amefanya hayo haijavunja katiba yetu?
Rais wa Zanzibar hajachaguliwa na watanzania Bali wazanzibar. Tanzania ni muungano wa tanganyika na Zanzibar hivyo Hana mamlaka ya kutoa uraia wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…