Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Naamini hapa alichofanya ni kuwalabidhi tuu, lakini uraia wa JMT unatolewa na rais wa JMT. Uwezo wa Mwinyi ni kutoa tuu ukaazi wa Zanzibar na sio uraia wa JMT.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema nchi imeandika historia mpya kwa kuwakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319 ambao wameishi nchini kwa zaidi ya miaka 50 wakiwa na asili ya mataifa jirani ya Burundi, Comoro, Msumbiji na Rwanda.
Rais Dk.Mwinyi amesema hayo leo tarehe 05 Septemba 2023 katika hafla ya kukabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania kundi la Wahamiaji wasiohamishika Ikulu, Zanzibar.
P