Rais Mwinyi awakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319

Rais Mwinyi awakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319

Hanogera kwao watu hao afutatu sasa wataweza kumiliki ardhi ya zanzibar !
 
Halafu hapohapo wanasema kuwa wametoka Burundi Comoro na Rwanda....

Je wanakuwa stateless kivipi? kwakweli mimi sina nia mbaya yoyote ninapenda Mwafrika aishi popote Afrika.
Pia ni ukatili kumrudisha mtu asie na lolote Burundi ana mke na watoto 3 si walau mpe uraia aendelee na maisha haya kayazoea
 
Umeandika kwa utu sana
Tusipo jali utu na upendo na heshima kwa Muafrika mwenzetu nani atamjali nani atamuonesha utu.

Historia yetu Waafrika imejaa madhila makubwa tuliofanyiwa na Wakoloni hii mipaka ni moja wapo hii mipaka hatukuiweka sisi tuliwekewa na maadui zetu.

Hizi ni artificial Borders tu tusibaguane
 
Q
Tusipo jali utu na upendo na heshima kwa Muafrika mwenzetu nani atamjali nani aramuonesha utu.

Historia yetu Waafrika imejaa madhila makubwa tuliofanyiwa na Wakoloni hii mipaka ni moja wapo hii mipaka hatukuiweka sisi tuliwekewa na maadui zetu.

Hizi artificial Borders zisitubague.
Kabisa kaka mwingine hapo juu kawaita mbuzi .hawa ndugu zetu kabisa
 
Back
Top Bottom