Halafu hapohapo wanasema kuwa wametoka Burundi Comoro na Rwanda....Maana yake hawana pa kwenda
Nchi sasa walizotoka😆😆Halafu hapohapo wanasema kuwa wametoka Burundi Comoro na Rwanda....
Je wanakuwa stateless kivipi? kwakweli mimi sina nia mbaya yoyote ninapenda Mwafrika aishi popote Afrika.
Kuna jamaa aliomba Uraia Uganda watu walimcheka sana.Halafu hapohapo wanasema kuwa wametoka Burundi Comoro na Rwanda....
Je wanakuwa stateless kivipi? kwakweli mimi sina nia mbaya yoyote ninapenda Mwafrika aishi popote Afrika.
Hakuna haja ya kumcheka mimi pia nina Dream ya kwenda Guinea Conakry Sierra Lione na Guinea Bissau na wakini offer uraia wao sintofanya ajizi.Kuna jamaa aliomba Uraia Uganda watu walimcheka sana.
Hukomi tu?[emoji1787]Japo siipendi CCM, lakini nawaonea wivu sana wazanzibari kwa huyu kiongozi waliyenae.
Wenzao huku tuna debe tupu kabisa.
Umeshawahi kuishi huko? Ndio Uganda kweli?Hakuna haja ya kumcheka mimi pia nina Dream ya kwenda Guinea Conakry Sierra Lione na Guinea Bissau na wakini offer uraia wao sintofanya ajizi.
Kenya pagumu kuliko UgandaUmeshawahi kuishi huko? Ndio Uganda kweli?
Pia ni ukatili kumrudisha mtu asie na lolote Burundi ana mke na watoto 3 si walau mpe uraia aendelee na maisha haya kayazoeaHalafu hapohapo wanasema kuwa wametoka Burundi Comoro na Rwanda....
Je wanakuwa stateless kivipi? kwakweli mimi sina nia mbaya yoyote ninapenda Mwafrika aishi popote Afrika.
Tuzibadilishe sheria zetu za Uhamiaji ili ziwe rafiki kwa muhamiaji mwenye asili ya Afrika.Pia ni ukatili kumrudisha mtu asie na lolote Burundi ana mke na watoto 3 si walau mpe uraia aendelee na maisha haya kayazoea
Umeandika kwa utu sanaTuzibadilishe sheria zetu za Uhamiaji ili ziwe rafiki kwa muhamiaji mwenye asili ya Afrika.
Tusipo jali utu na upendo na heshima kwa Muafrika mwenzetu nani atamjali nani atamuonesha utu.Umeandika kwa utu sana
Kabisa kaka mwingine hapo juu kawaita mbuzi .hawa ndugu zetu kabisaTusipo jali utu na upendo na heshima kwa Muafrika mwenzetu nani atamjali nani aramuonesha utu.
Historia yetu Waafrika imejaa madhila makubwa tuliofanyiwa na Wakoloni hii mipaka ni moja wapo hii mipaka hatukuiweka sisi tuliwekewa na maadui zetu.
Hizi artificial Borders zisitubague.
Nazani P amekuelewaTaarifa iliyopo ni kwamba kawapa Uraia siyo ukaazi
Kuna tatizo sana kipindi hiki. Mambo yanafanyika kifamilia na si kisheria.
Very sad,lakini JF ni Kokolo, na ni sehemu ya Wisdom. Inhene tena 😄🙏Q
Kabisa kaka mwingine hapo juu kawaita mbuzi .hawa ndugu zetu kabisa