Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Wapi jidu reli a.k.a Jidu La Mabambasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauhakika na kiasi alichochukua au na wewe unataka Watu wakuone umeandika Rais mwenyewe hakuwa na uhakika kama mkandarasi kalipwa au hakulipwa. Nadhani hakuna mwenye Data zozote mpaka sasa.Hii nchi ndomana haiendelei kwakutetea uzembe kama huu, mkandarasi kashachukua pesa lakini kazi hafanyi kama walivokubaliana mnataka bado achekewe tu? wakandarasi kama hawa ndomana miradi mingi inakufa watuwanaishia kupiga hela tu, Hongera rais Mwinyi kazia hapohapo ili iwe funzo kwawengine.
Kitendo alichifanya Rais is unproffessional.Unauhakika na kiasi alichochukua au na wewe unataka Watu wakuone umeandika Rais mwenyewe hakuwa na uhakika kama mkandarasi kalipwa au hakulipwa. Nadhani hakuna mwenye Data zozote mpaka sasa.
Mkuu kwa kweli Uongozi wowote usipokuwa proffessional, mambo kama haya ya Rais Mwinyi ndiyo tutayaona mengi.Mimi si shabikiwa mwendazake.Ila jiulize hivi viti
Kitendo cha Rais kutozingatia hata namna ya kumsimamisha mkandarasi, hii inatia hofu kuwa Rais analeta siasa kwenye proffessional jobs, alimradi ana madaraka ya kufukuza.
- Je mkandarasi ana mkataba?
- Mkataba unasemaje, kama mkandarasi amechelewesha kukabidhi mradi?
- Msimamizi wa mradi yupo?
- Ripoti zake msimamizi zimepitiwa?
- Matatizo anapopitia mmkandarasi, je mwenye jengo( serikali) anayajua?
Inaelekea kuna minong’ono kwa mkandarasi kaletwa na Rais, kama alivyo kiri.Kwa hiyo Rais kaamua kumfukuza mkandarasi kwa madaraka aliyonayo, ili kuwafurahisha wananchi wake.
Nigamshangaa mkandarasi atakayechukja kazi za serikali ha Zanzibar akitoka huku bara kwa misingi hiyo.
Bro..!! Hata mwizi ana haki zake..!! Hao wakandarasi wana bodi zao ambazo zinawaangalia. ALichotakiwa kufanya Mwinyi, ni kuziagiza bodi hizo ziwakague hao wakandarasi na ikitokea wana kasoro, bodi ndo itoe adhabu..!!! Hapo wala hajatenda kitu inaitwa NATURAL JUSTICE.. mkandarasi hajapewa haki yake ya kusikilizwaUnatumia nguvu kubwa sana kutetea ujinga kenge wewe
Anatakiwa aadhibiwe na controller wake, siyo raisHii nchi ndomana haiendelei kwakutetea uzembe kama huu, mkandarasi kashachukua pesa lakini kazi hafanyi kama walivokubaliana mnataka bado achekewe tu? wakandarasi kama hawa ndomana miradi mingi inakufa watuwanaishia kupiga hela tu, Hongera rais Mwinyi kazia hapohapo ili iwe funzo kwawengine.
Huyu nae huwa hajiamini na mkurupukaji,eti anamuiga Jiwe 🤣🤣Nimesikitishwa na kauli za Rais wa Zanzibar juu ya mkandarasi aliyekuwa akijenga jengo la serikali huko Zanzibar.
Mwinyi naona kaingiza siasa kwenye kazi za kitaalam isivyo.
Kwa muonekano tu Mkandarasi na Consultant wanatoka Bara.
Sababu za kuwafuta hiyo contract haziko wazi, lakini tokana na maelezo ya Rais, ni mkadarasi kuomba kuongezewa muda kwa miezi sita!
Na Consulant eti alitakiwa kuongea kile Rais anapenda kusikia!
Ajabu sana hii. Nani asiyejua Zanzibar hakuna kokoto wala cement , wala mchanga, VYOTE VINATOKA BARA.
Kwa msimamo kama huu kwa nini makandarasi wa SGR na wale wa Bwawa la Umeme JNHP-Stieglers wasisimamshwe?
Tunaona kuna element ya siasa za Uzanzbari katika hili.
View attachment 2294254
True, when you come to think of it, huyu Rais Mwinyi, hata katika awamu zote alizodumu, impact yake ni minimal.Huyu nae huwa hajiamini na mkurupukaji,eti anamuiga Jiwe 🤣🤣
Anashindwa hata kumuiga dada yake ambae licha ya maneno meeengi na kutukanwa amesimamia msimamo wake na kile anachokiamini na mambo yanaenda..True, when you come ti think of it, huyu hata katika awamu zote alizodumu, impact yake ni minimal.
Ni kama alikuwa kawekwa wekwa tu kwa infkuence ya Mzee Mwinyi.
Sasa yuko mwenyewe ndio tunaona vioja.
Wanasiasa wenye akili kama yako ni shida, ndio maana nchi haiendelei.Rais yupo sahihi,toka lini Mwafrika anafuata sheria!!.Hakuna haki bila wajibu,ile ni kazi, serikali imetoa tenda na pesa na Mkandarasi lazima atimize.Hawa wakandarasi mnawatetea,si ndiyo awa wanatujengea Madaraja ya kuni kwa milioni 74.9(refer Rolya).
Rais pale anazo data zote,mule Kuna vibarua wa Eagle House wazee wa Kaunda suti wanakimbiza karai za zege.
DuhRudi kwenye mada mazee!
Tumeshaona shimo ulilotokea!
Nimesikitishwa na kauli za Rais wa Zanzibar juu ya mkandarasi aliyekuwa akijenga jengo la serikali huko Zanzibar.
Mwinyi naona kaingiza siasa kwenye kazi za kitaalam isivyo.
Kwa muonekano tu Mkandarasi na Consultant wanatoka Bara.
Sababu za kuwafuta hiyo contract haziko wazi, lakini tokana na maelezo ya Rais, ni mkadarasi kuomba kuongezewa muda kwa miezi sita!
Na Consulant eti alitakiwa kuongea kile Rais anapenda kusikia!
Ajabu sana hii. Nani asiyejua Zanzibar hakuna kokoto wala cement , wala mchanga, VYOTE VINATOKA BARA.
Kwa msimamo kama huu kwa nini makandarasi wa SGR na wale wa Bwawa la Umeme JNHP-Stieglers wasisimamshwe?
Tunaona kuna element ya siasa za Uzanzbari katika hili.
View attachment 2294254
Kama kuna battle kati ya Zanzibar na Bara tuambiane ili tuanze kutembeza kichapo kwa wapemba hapa KariakooTunaona kuna element ya siasa za Uzanzbari katika hili.
Ninyi mataahira msiojua ndio mmezoea kuwaita waandishi wa habari ili kupata promo kwa kumfokea mkandarasi ilihali msimamizi yupo na mkataba upo.Ni kawaida yetu Wabongo kufanya ubabaishaji, anywhere anytime! Tufike mahali tutambue kwamba kuna consequences za kushindwa kutimiza wajibu wetu.
Mwinyi ashikilie hapohapo, kwasababu punda haendi ila kwa mjeledi.
Ninyi mataahira msiojua ndio mmezoea kuwaita waandishi wa habari ili kupata promo kwa kumfokea mkandarasi ilihali msimamizi yupo na mkataba upo.
Tumia mkataba kufukuza mkandarasi.
Sasa wewe mjinga kuna punda mkubwa zaidi SGR na Bwawa la umeme-Stiglaz.
Sijaona mwanasiasa kwenda kubweka pale na kumfukuza mkandarasi ilhali miradi yote imechelewa kukamilika.
Kwa nini kichapo kwa wapemba? Au Mwinyi ni mpemba?K
Kama kuna battle kati ya Zanzibar na Bara tuambiane ili tuanze kutembeza kichapo kwa wapemba hapa Kariakoo
Mikataba ya ujenzi serikali zote (Muungano na Zenj) ni kwa kutumia Standard Conditions of Contract.Ni kawaida ya taahira kuwaona wenye akili timamu kuwa mataahira!
Kama hakufukuzwa kwa mujibu wa mkataba, aende mahakamani.
SGR na JNHPP zinaingiaje kwenye maswala ya Zanzibar? Unataka Mwinyi aje bara kushughulikia issues za projects za bara?