Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #61
Tatizo kubwa ni kwamba viongozi wengi hawana uelewa wa mikataba na sheria zake.Mikataba ya ujenzi serikali zote (Muungano na Zenj) ni kwa kutumia Standard Conditions of Contract.
Kama hilo somo hulijui au huelewe, elewa sasa.
Halafu ninyi mnaoshabikia wanasiasa kubweka badala ya kutumia akili na mikataba, ulizieni jinsi Serikali ilivyolizwa ka kufuta mikataba kinyemela.
Huwa wanafikiri mradi wana madaraka makubwa wanaweza kufanya lolote.
Serikali ya Magufuli imeingia hasara kubwa kuwalipa makandarasi baada ya kuonekana walivunja mikataba bila kuzingatia sheria.