Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #61
Tatizo kubwa ni kwamba viongozi wengi hawana uelewa wa mikataba na sheria zake.Mikataba ya ujenzi serikali zote (Muungano na Zenj) ni kwa kutumia Standard Conditions of Contract.
Kama hilo somo hulijui au huelewe, elewa sasa.
Halafu ninyi mnaoshabikia wanasiasa kubweka badala ya kutumia akili na mikataba, ulizieni jinsi Serikali ilivyolizwa ka kufuta mikataba kinyemela.
Pana wale kajima sijui kesi ilitushinda huko USA inatakiwa tuwalipe ndege zetu haziwezi kwenda SA na kwingineko kwa sababu wahuni wakiamsha na kesi zao wamezishika ni vile Watanzania tunsahau haraka sana..Mikataba ya ujenzi serikali zote (Muungano na Zenj) ni kwa kutumia Standard Conditions of Contract.
Kama hilo somo hulijui au huelewe, elewa sasa.
Halafu ninyi mnaoshabikia wanasiasa kubweka badala ya kutumia akili na mikataba, ulizieni jinsi Serikali ilivyolizwa ka kufuta mikataba kinyemela.
PimbiTatizo kubwa ni kwamba viongozi wengi hawana uelewa wa mikataba na sheria zake.
Huwa wanafikiri mradi wana madaraka makubwa wanaweza kufanya lolote.
Serikali ya Magufuli imeingia hasara kubwa kuwalipa makandarasi baada ya kuonekana walivunja mikataba bila kuzingatia sheria.
Anambagua nani wakati na Yeye ni wa Mkuranga?Mwinyi ni mdini na mbaguzi sn
So far, pamoja na matusi, fani unayoijua zaidi, umeonyesha just how inept you are.Pimbi
Kuna vilaza wanafikiri unaweza kuamka asubuhi na kuliamsha tu kwa mkandarasi bila consequences.Pana wale kajima sijui kesi ilitushinda huko USA inatakiwa tuwalipe ndege zetu haziwezi kwenda SA na kwingineko kwa sababu wahuni wakiamsha na kesi zao wamezishika ni vile Watanzania tunsahau haraka sana..
Mkuu umeeleza kila kitu.Sijui ni kwa nini watu walio wengi hupenda kushabikia mtu akiumizwa!! Rais anao wasaidizi wengi tu, vipi arukie moja kwa moja kumfukuza mkandarasi? Nini kazi ya waziri,makatibu na wengine wengi tu. Hawa wakandarasi wamekuwa wahanga kwa makosa ya watendaji wengi serikalini, ni vile hawapewi nafasi ya kujieleza. Hutokea mkandarasi kukwamishwa na ukiritimba usio na maana na mwisho huonekana yeye ndiye tatizo.
Kwahiyo wewe ukiwa mkinga ukizaa mtoto uchagani mtoto anakuwa mchaga?Anambagua nani wakati na Yeye ni wa Mkuranga?
Umenena vyema.Mimi naona Mkandarasi anaejenga chini ya kiwango huyo ndio afukuzwe kwenye ukaguzi hawa wa muda kuzidi kidogo waongezewe kidogo ili wakamilishe na pia naona Serikali kwenye hizi kesi za kufukuzana wakienda huko kwenye mahakama zao tunashindwa sisi...mambo kama hayo wawepo wataalamu watoe ushauri kabla ya maamuzi..
Anafuata wazazi wake, ndio maana na Yeye ni Mtanganyika kama Baba yake.Kwahiyo wewe ukiwa mkinga ukizaa mtoto uchagani mtoto anakuwa mchaga?
RubbishAnafuata wazazi wake, ndio maana na Yeye ni Mtanganyika kama Baba yake.
Na kwa kuwa analitambua hilo, which is very naturally, ndio maana alianza siasa kwa kugombea ubunge Mkuranga.
Kenge mama yakoUnatumia nguvu kubwa sana kutetea ujinga kenge wewe
Kwahiyo nyie ni nduguKenge mama yako