Ile ile ipi? Waambie Gen Z wakuelewe.Itikadi yao ni ile ile ...wanakutana Serbia
Wanasimamia itikadi ya NON ALIGNED!Hivi hili kundi NON ALIGNED bado lipo? Kwa sasa wanasimamia itikadi gani?
Nadhani ni kwamba hawafungamani na Upande wowote. Hapo kitu gani hujaelewa??Ile ile ipi? Waambie Gen Z wakuelewe.
Mkubwa sana maana nchi nyingi zilishachagua upande.Bila shaka mchango wa Tanzania kwenye jumuiya hii ni mkubwa na muhimu
Nimeuliza ITIKADI; sikuhitaji tafsiri! Dah.Nadhani ni kwamba hawafungamani na Upande wowote. Hapo kitu gani hujaelewa??
Ukiangalia vita vya UKRAINE na IRANI na yanayoendelea kutokea katika uchumi na siasa NAM ni suluhisho muhimu sana kwa nchi zinazokuza uchumi wake.Mkubwa sana maana nchi nyingi zilishachagua upande.
Non alignment haina mashiko tena hata hivyo vikao havina maana yoyoteHuu ni mkutano muhimu katika nyakati hizi za mivutano ya siasa za kiuchumi na kikanda
Nchi za kimalaya malayaHuu ni mkutano muhimu katika nyakati hizi za mivutano ya siasa za kiuchumi na kikanda