Rais Mwinyi Kumuwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na serikali wa SADC

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Daktari Hussein Mwinyi anatarajiwa kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

katika mkutano wa dharura wa wakuu wa Nchi na serikali wa SADC utakaofanyika tarehe 20 mwezi huu mjini Harare Nchini Zimbabwe.

Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu Mpendwa kipenzi cha watanzania kwa sasa yupo Nchini Brazil kwa Mualiko maalumu na wa heshima kubwa sana ya Nyota tano ya Rais wa Nchi hiyo katika Mkutano wa Nchi Tajiri Duniani ambapo humo ndani unamkuta hadi China,india, Brazil yenyewe,India na zingine.

Ambapo Dunia nzima itashuhudia Mama huyu shupavu,jasiri ,imara na madhubuti na aliye kinara wa kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia Duniani akiwa kama Nuru katikati ya Giza.ambapo viongozi wengi watapata Bahati ya kupata maarifa kutoka kwa Mama huyu mwenye Maono Makubwa na unayeweza kusema anaishi Mbele ya wakati.

Screenshot_20241118-201510_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Africa huwa kuna dharula?
Mkutano wa dharula wa SADC unatokea wapi?

Mwinyi ni rais wetu wa Zanzibar, anapaswa kuwepo Zanzibar kuwahudumia wazanzibar, hayo mambo ya SADC yanawafaa watanganyika tu, haina msaada wowote kwa wazanzibar.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Daktari Hussein Mwinyi anatarajiwa kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

katika mkutano wa dharura wa wakuu wa Nchi na serikali wa SADC utakaofanyika tarehe 20 mwezi huu mjini Harare Nchini Zimbabwe.

Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu Mpendwa kipenzi cha watanzania kwa sasa yupo Nchini Brazil kwa Mualiko maalumu na wa heshima kubwa sana ya Nyota tano ya Rais wa Nchi hiyo katika Mkutano wa Nchi Tajiri Duniani ambapo humo ndani unamkuta hadi China,india, Brazil yenyewe,India na zingine.

Ambapo Dunia nzima itashuhudia Mama huyu shupavu,jasiri ,imara na madhubuti na aliye kinara wa kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia Duniani akiwa kama Nuru katikati ya Giza.ambapo viongozi wengi watapata Bahati ya kupata maarifa kutoka kwa Mama huyu mwenye Maono Makubwa na unayeweza kusema anaishi Mbele ya wakati.

View attachment 3155588

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
SO CALLED SADC NI TAKTAKA, KUSANYIKO WA MADIKITEITA , SANA SANA WANACHOKIFANYA NI KUPEANA MBINU ZA KUNG'AG'ANIA MADARAKANI
 
Mwinyi anamuwakilisha kama nani katika serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania?
 
Kiprotokali Mwinyi ni waziri asiye na wizara maalum huko Tanganyika. Anafaa kumwakilisha mzanzibar mwenzake kwenye mambo madogomadogo kama haya ya sadc. Acha Mpango aendelee na mipango yake.
 
Dr.Mpango amewakosea nini? Kwanini Wazanzibari watupu Husseni Mwinyi, na Mahamoud Kombo, ndio wanatuwakilisha? Kwanini hakuna Watanganyika?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Daktari Hussein Mwinyi anatarajiwa kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

katika mkutano wa dharura wa wakuu wa Nchi na serikali wa SADC utakaofanyika tarehe 20 mwezi huu mjini Harare Nchini Zimbabwe.

Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu Mpendwa kipenzi cha watanzania kwa sasa yupo Nchini Brazil kwa Mualiko maalumu na wa heshima kubwa sana ya Nyota tano ya Rais wa Nchi hiyo katika Mkutano wa Nchi Tajiri Duniani ambapo humo ndani unamkuta hadi China,india, Brazil yenyewe,India na zingine.

Ambapo Dunia nzima itashuhudia Mama huyu shupavu,jasiri ,imara na madhubuti na aliye kinara wa kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia Duniani akiwa kama Nuru katikati ya Giza.ambapo viongozi wengi watapata Bahati ya kupata maarifa kutoka kwa Mama huyu mwenye Maono Makubwa na unayeweza kusema anaishi Mbele ya wakati.

View attachment 3155588

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kimsingi tuna Makamu wa Rais kivuli asiye na........
 
Acha Wazenji waitawale Tanganyika kwa muda mfupi, kabla hatujapindua meza. Watajuta kuwafahamu watanganyika siku si nyingi.
 
Kila siku tunaiimba SADC wakati baadhi ya bidhaa kutoka Nchi wanachama wa SADC kodi inakua kama imetoka Japan naona ni matumizi mabaya ya fedha kwenda kwenye mikutano wakati mnachojadili hakuna kinachotekelezwa...
 
Back
Top Bottom