Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Daktari Hussein Mwinyi anatarajiwa kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
katika mkutano wa dharura wa wakuu wa Nchi na serikali wa SADC utakaofanyika tarehe 20 mwezi huu mjini Harare Nchini Zimbabwe.
Ikumbukwe ya Kuwa Rais wetu Mpendwa kipenzi cha watanzania kwa sasa yupo Nchini Brazil kwa Mualiko maalumu na wa heshima kubwa sana ya Nyota tano ya Rais wa Nchi hiyo katika Mkutano wa Nchi Tajiri Duniani ambapo humo ndani unamkuta hadi China,india, Brazil yenyewe,India na zingine.
Ambapo Dunia nzima itashuhudia Mama huyu shupavu,jasiri ,imara na madhubuti na aliye kinara wa kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia Duniani akiwa kama Nuru katikati ya Giza.ambapo viongozi wengi watapata Bahati ya kupata maarifa kutoka kwa Mama huyu mwenye Maono Makubwa na unayeweza kusema anaishi Mbele ya wakati.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.