Ati kudai kodi za nyuma!
Ujinga TRA hauishi.
Wanavyofanya ndio njia ya wazi kukimbiza biashara, na sasa wameanzisha mtindo wa kublock na kuchukua-kupora fadha benki.
Hapo nani atawekeza?
Sheria za Kodi-TRA hata wao wenyewe hazielewi.
Kiufupi biashara zinafilisiwa mchana kweupe kwa kisingizio cha kodi cha nyuma.
Nahamishia biashara zangu Zanzibar naona tunaendana kihekima na huyu Rais mwerevu... Bye bye Dar-es-salaam nlikupenda lakini ntakupenda tena 2025 wateja bidhaa nitatuma msijali
Ofcourse, kwani unanilisha kama wewe unavyonenepeana ovyo kwa kula mshahara wa kodi zetu!kwahio ulitaka ubembelezwe kulipa kodi?
Wakati huo huo anaendelea kuhimiza wananchi walipishwe kodi zaidi, na wasipolipa kuna penalty na riba juu. Ila walioba tumewasamehe kwa vile ni wenzetu!!!
P.S. SIJATAJA NCHI WALA SIJASEMA KAMA NI ZANZIBAR!!!
Kwa kifupi walio iba ni CCCM wenzake hivyo hawezi wagusa.Wakati huo huo anaendelea kuhimiza wananchi walipishwe kodi zaidi, na wasipolipa kuna penalty na riba juu. Ila walioba tumewasamehe kwa vile ni wenzetu!!!
P.S. SIJATAJA NCHI WALA SIJASEMA KAMA NI ZANZIBAR!!!
Kweli mkuuKwa kifupi walio iba ni CCCM wenzake hivyo hawezi wagusa.
Ila wewe mwananchi mnyonge ukidakwa tu kwanza lazima kaburi lifunguliwe lazima hiyo siku ujifunze maana INTEREST RATE NA JINSI INAVYO TAFUTWA.
Ha ha hahaZanzibar mwizi wake mkuu ni CCM...
Asante baba, meli ile ingeleta makambo.Wakati huo huo anaendelea kuhimiza wananchi walipishwe kodi zaidi, na wasipolipa kuna penalty na riba juu. Ila walioba tumewasamehe kwa vile ni wenzetu!!!
P.S. SIJATAJA NCHI WALA SIJASEMA KAMA NI ZANZIBAR!!!
Huyu Hilda Newton anajiamini Sana I hope atakuwa na walinzi tu
Huyu Hilda Newton anajiamini Sana I hope atakuwa na walinzi tu
Ofcourse, kwani unanilisha kama wewe unavyonenepeana ovyo kwa kula mshahara wa kodi zetu!
Wapi huko ulipo ambapo kodi zimepungua?A congregation of sadist, kodi gani imeongezeka? Mbona kodi zimepungua? Au akili ya sisi wafanya biashara? Maamumzi ya sisi wafanyabiashara hata tukisamehewa kodi tunaona tumeonewa.
Tutafika tuu.
How do yuo do business but you don't want to pay tax?
So naacha biashara na nakula mtaji kwa miaka 20 , sina shida.hahaha basi jiandae kisaokolojia maaana utalipa kodi kwa fimbo sasa, unataka tukubembeleze we kama nan