Rais Mwinyi: Watu wanadhani kuweka kodi kubwa ndio pato kubwa kwa Serikali, kodi kubwa inapunguza wafanyabiashara

Rais Mwinyi: Watu wanadhani kuweka kodi kubwa ndio pato kubwa kwa Serikali, kodi kubwa inapunguza wafanyabiashara

Ati kudai kodi za nyuma!
Ujinga TRA hauishi.
Wanavyofanya ndio njia ya wazi kukimbiza biashara, na sasa wameanzisha mtindo wa kublock na kuchukua-kupora fadha benki.
Hapo nani atawekeza?
Sheria za Kodi-TRA hata wao wenyewe hazielewi.
Kiufupi biashara zinafilisiwa mchana kweupe kwa kisingizio cha kodi cha nyuma.

kwahio ulitaka ubembelezwe kulipa kodi?
 
Hiyo bidhaa ukiituma itagongwa kodi mara dufu pale bandari
Nahamishia biashara zangu Zanzibar naona tunaendana kihekima na huyu Rais mwerevu... Bye bye Dar-es-salaam nlikupenda lakini ntakupenda tena 2025 wateja bidhaa nitatuma msijali
 
Wakati huo huo anaendelea kuhimiza wananchi walipishwe kodi zaidi, na wasipolipa kuna penalty na riba juu. Ila walioba tumewasamehe kwa vile ni wenzetu!!!

P.S. SIJATAJA NCHI WALA SIJASEMA KAMA NI ZANZIBAR!!!
 
Zanzibar mwizi wake mkuu ni CCM...
Aache tu yapite
 
Wakati huo huo anaendelea kuhimiza wananchi walipishwe kodi zaidi, na wasipolipa kuna penalty na riba juu. Ila walioba tumewasamehe kwa vile ni wenzetu!!!

P.S. SIJATAJA NCHI WALA SIJASEMA KAMA NI ZANZIBAR!!!
Kwa kifupi walio iba ni CCCM wenzake hivyo hawezi wagusa.

Ila wewe mwananchi mnyonge ukidakwa tu kwanza lazima kaburi lifunguliwe lazima hiyo siku ujifunze maana INTEREST RATE NA JINSI INAVYO TAFUTWA.
 
Hivi kaburi la hepa halikufukuliwa kweli, yule mzee kutoka kule migombani bado yuko nyavuni huku wazee wa hela ya mboga na wale wa kubeba kwenye sandarusi wanapeta tu, ama kweli makaburi hayafukuliwi..
 
Wakati huo huo anaendelea kuhimiza wananchi walipishwe kodi zaidi, na wasipolipa kuna penalty na riba juu. Ila walioba tumewasamehe kwa vile ni wenzetu!!!

P.S. SIJATAJA NCHI WALA SIJASEMA KAMA NI ZANZIBAR!!!
Asante baba, meli ile ingeleta makambo.
 
A congregation of sadist, kodi gani imeongezeka? Mbona kodi zimepungua? Au akili ya sisi wafanya biashara? Maamumzi ya sisi wafanyabiashara hata tukisamehewa kodi tunaona tumeonewa.

Tutafika tuu.

How do yuo do business but you don't want to pay tax?
Wapi huko ulipo ambapo kodi zimepungua?
 
Kwani hata sisi wauza majeneza tunaweza kuruhusiwa kuhamishia biashara Zanzibar?
 
Back
Top Bottom