Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamzungumzia Magufuli yupi,Jamani, Magufuli naye afanye hivi ili wote twende sawa
Nimecheka sana asee ila nmeogopa kulikeKanaonekana kuwa na busara haka kajamaa kuzidi lile dubwasha eeeh?
Hii principle ikiwa implemented vizuri inaweza kuleta matokeo chanya....mimi sio muumini wa masuala ya kuweka kodi kubwa kwa sababu watu wanadhani kuweka kodi kubwa ndio pato kubwa kwa serikali, ni kinyume chake.
Kwa hiyo anampiga dongo jiwe auHii principle ikiwa implemented vizuri inaweza kuleta matokeo chanya.
Hii inapaswa pia kuigwa na wengine. Huwa nashangaa kwa mfano unakuta ticket ya ndege inauzwa bei zaidi ya mara mbili ya nauli ya kawaida ukitaka kukata ticket siku 2-3 kabla ya safari na mwisho wa siku unakuta ndege yenyewe inaishia kwenda na abiria nusu ya capacity yake
Ilibidi tubadilishane sasa hivi, jiwe aende kule, na supika wake, nafikiri huyu amelelewa kiuongozi, anatambulika tu! Pamoja na kuingia kwa mizengwe ila anaonyesha anafaa!Mbona anataka kumfunika boss wake
IndirectKwa hiyo anampiga dongo jiwe au
Huyo akili yake iko kwa Kagame.Jamani, Magufuli naye afanye hivi ili wote twende sawa
Kama nashawishika kumkubari huyu bin alli
Huyu kiongozi ana hazina kubwa ya hekima na busara. Hata speech zake zina mvuto wa kiungozi.