Rais Mwinyi: Watu wanadhani kuweka kodi kubwa ndio pato kubwa kwa Serikali, kodi kubwa inapunguza wafanyabiashara

Rais Mwinyi: Watu wanadhani kuweka kodi kubwa ndio pato kubwa kwa Serikali, kodi kubwa inapunguza wafanyabiashara

Rais Mwinyi uko sahihi kabisa, Chukua hatua, Chukua Sheria za biashara na kanuni za jimbo la Texas Nchini Marekani na hamishia Zanzibar ndani ya mwaka moja tu utakataa wawekezaji na mitaji itakayoingia Zanzibar itakua haina idadi, usisubiri watumishi kukuletea changamoto kutoka kwa Wafanya biashara, kwani hao watumishi wenyewe hawajui tabia na lugha ya kibiashara. Mungu akuongoze na akupe hekima.
 
Nikiongoz Mzuri Sana Ila shida regulation sina uhakika atafanikiwa kivile maana Znz kuna ZRB na TRA. Bad enough BOT ndio regulator Kwa bara na visiwani. Je anatoka vipi?
 
...mimi sio muumini wa masuala ya kuweka kodi kubwa kwa sababu watu wanadhani kuweka kodi kubwa ndio pato kubwa kwa serikali, ni kinyume chake.
Hii principle ikiwa implemented vizuri inaweza kuleta matokeo chanya.

Hii inapaswa pia kuigwa na wengine. Huwa nashangaa kwa mfano unakuta ticket ya ndege inauzwa bei zaidi ya mara mbili ya nauli ya kawaida ukitaka kukata ticket siku 2-3 kabla ya safari na mwisho wa siku unakuta ndege yenyewe inaishia kwenda na abiria nusu ya capacity yake
 
16A9DC40-FF63-429A-AB36-F1F383948065.jpeg
 
Hii principle ikiwa implemented vizuri inaweza kuleta matokeo chanya.

Hii inapaswa pia kuigwa na wengine. Huwa nashangaa kwa mfano unakuta ticket ya ndege inauzwa bei zaidi ya mara mbili ya nauli ya kawaida ukitaka kukata ticket siku 2-3 kabla ya safari na mwisho wa siku unakuta ndege yenyewe inaishia kwenda na abiria nusu ya capacity yake
Kwa hiyo anampiga dongo jiwe au
 
Mungu saidia na huku kwetu iwe hivi.. maana wengine TRA wanatufanya tunakonda kila siku 🥲🥲
 
Ambao mlikuwa wadogo au hamjazaliwa,shuhudieni utawala wa Mzee Ally Hassan Mwinyi kwa kutazama utawala huu wa Dr Hussein

Hussein naamini ataibadilisha Zanzibar kama Baba yake alivyoibadili ndani ya Mwaka 1984 hadi ikaonekana apewe Tz aibadili na akaibadili kweli
 
Anazaliwa Baba tayari ni Balozi,

Uongozi upo kwenye bone marrow, Maisha yake yote ya utotoni Baba yupo kwenye Utawala, Baba anatundika Gloves yeye anaingia

Wenzangu na sie ukipata uteuzi ndio unaanza kujifunza kufunga tai kwa mara ya kwanza kwanini usione Binadam wenzio wote Kuku?
Huyu kiongozi ana hazina kubwa ya hekima na busara. Hata speech zake zina mvuto wa kiungozi.
 
Back
Top Bottom