kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Mwinyi tumkopeshe aje kuiongoza Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa busara na hekima
Anazaliwa Baba tayari ni Balozi,
Uongozi upo kwenye bone narrow, Maisha yake yote ya utotoni Baba yupo kwny Utawala, Baba anatundika Gloves yeye anaingia
Wenzangu na sie ukipata uteuzi ndio unaanza kujifunza kufunga tai kwa mara ya kwanza kwanini usione Binadam wenzio wote Kuku?
😂😂😂 Tu mgawe tu jiwe bure ata kwa North KoreaIlibidi tubadilishane sasa hivi, jiwe aende kule, na supika wake, nafikiri huyu amelelewa kiuongozi, anatambulika tu! Pamoja na kuingia kwa mizengwe ila anaonyesha anafaa!
Kumbe yote haya unayajua. Hongera leo kwa kuamua kutumia akili yako. Ungekuwa unatumia akili hivi kila siku namna hii upuuzi mwingi unaouandika humu wala usingethubutu kuuweka hapa jamvini.
Mungu mtuHuko Zanzibar boss wake ni nani?!
Jiunge TBC, Mkuu wa Dola anatangaza baraza la Mawaziri
Baraza haramu la Mawaziri!? Usitegemee kipya chochote zaidi ya UOZO mwingine wa miaka mitano/saba. Chunga haya maneno yangu Mkuu. Miaka mitano ijayo ni balaa mwanzo mwisho.
Mkuu ninachojua ni Doctor of Medicine(MD), yani ana degree moja ya Udaktari wa binadamu. PhD sidhani kama anayoSio Wewe tu, hata ACT wanakutana leo kupanga maneno ya namna ya kumkubali Dr Mwinyi ( Tabibu wa binadamu wa kiwango cha PhD, yaan Daktari Hussein Ally Hassan Mwinyi PhD
Inshallah tutavuka kama tulivyovuka kwny Corona hadi waliokuwa wanabisha nao wamevua barakoa
Corona bado ipo Mkuu na inaua sana tu. Jiepushe na misongamano ya watu. Usikubali huo uongo eti Tanzania hakuna COVID19.
Mkuu ninachojua ni Doctor of Medicine(MD), yani ana degree moja ya Udaktari wa binadamu. PhD sidhani kama anayo
Sasa kwanini kikao cha kumfukuza Halima Mdee na wenzie hakikuwa kwa njia ya video conference kama wakati ule au Mgombea wenu Machachari Lissu hakuvaa barakoa baada ya kuingia nchini?
HahahahahahAnazaliwa Baba tayari ni Balozi,
Uongozi upo kwenye bone narrow, Maisha yake yote ya utotoni Baba yupo kwenye Utawala, Baba anatundika Gloves yeye anaingia
Wenzangu na sie ukipata uteuzi ndio unaanza kujifunza kufunga tai kwa mara ya kwanza kwanini usione Binadam wenzio wote Kuku?
Boss Jinga wacha lifunikwe tuMbona anataka kumfunika boss wake
Ukitoka katika familia bora huna muda na mambo ya kishamba kama bwana yuleMimi naichukia CCM na watu wake ila Mwinyi ana afadhali.