Rais Mwinyi: Watu wanadhani kuweka kodi kubwa ndio pato kubwa kwa Serikali, kodi kubwa inapunguza wafanyabiashara

Kumbe yote haya unayajua. Hongera leo kwa kuamua kutumia akili yako. Ungekuwa unatumia akili hivi kila siku namna hii upuuzi mwingi unaouandika humu wala usingethubutu kuuweka hapa jamvini.
Anazaliwa Baba tayari ni Balozi,

Uongozi upo kwenye bone narrow, Maisha yake yote ya utotoni Baba yupo kwny Utawala, Baba anatundika Gloves yeye anaingia

Wenzangu na sie ukipata uteuzi ndio unaanza kujifunza kufunga tai kwa mara ya kwanza kwanini usione Binadam wenzio wote Kuku?
 
Jiunge TBC, Mkuu wa Dola anatangaza baraza la Mawaziri
Kumbe yote haya unayajua. Hongera leo kwa kuamua kutumia akili yako. Ungekuwa unatumia akili hivi kila siku namna hii upuuzi mwingi unaouandika humu wala usingethubutu kuuweka hapa jamvini.
 
Baraza haramu la Mawaziri!? Usitegemee kipya chochote zaidi ya UOZO mwingine wa miaka mitano/saba. Chunga haya maneno yangu Mkuu. Miaka mitano ijayo ni balaa mwanzo mwisho.
Jiunge TBC, Mkuu wa Dola anatangaza baraza la Mawaziri
 
Inshallah tutavuka kama tulivyovuka kwenye Corona hadi waliokuwa wanabisha nao wamevua barakoa
Baraza haramu la Mawaziri!? Usitegemee kipya chochote zaidi ya UOZO mwingine wa miaka mitano/saba. Chunga haya maneno yangu Mkuu. Miaka mitano ijayo ni balaa mwanzo mwisho.
 
Sio Wewe tu, hata ACT wanakutana leo kupanga maneno ya namna ya kumkubali Dr Mwinyi ( Tabibu wa binadamu wa kiwango cha PhD, yaan Daktari Hussein Ally Hassan Mwinyi PhD
Mkuu ninachojua ni Doctor of Medicine(MD), yani ana degree moja ya Udaktari wa binadamu. PhD sidhani kama anayo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Corona bado ipo Mkuu na inaua sana tu. Jiepushe na misongamano ya watu. Usikubali huo uongo eti Tanzania hakuna COVID19.
Inshallah tutavuka kama tulivyovuka kwny Corona hadi waliokuwa wanabisha nao wamevua barakoa
 
Sasa kwanini kikao cha kumfukuza Halima Mdee na wenzie hakikuwa kwa njia ya video conference kama wakati ule au Mgombea wenu Machachari Lissu hakuvaa barakoa baada ya kuingia nchini?
Corona bado ipo Mkuu na inaua sana tu. Jiepushe na misongamano ya watu. Usikubali huo uongo eti Tanzania hakuna COVID19.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ana PhD kaifanyia Uturuki

Unaweza ku google CV yake kujiridhisha kama utapenda

Nimeandika hivi kusudi kwa kuwa wengi wenu mnadhani anaitwa Dr kwa sababu Shahada yake ya kwanza ya Udaktari
Mkuu ninachojua ni Doctor of Medicine(MD), yani ana degree moja ya Udaktari wa binadamu. PhD sidhani kama anayo
 
Ohoooo! Ndiyo nimeshakutahadharisha hivyo. Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi. Makaburi unayajua.
Sasa kwanini kikao cha kumfukuza Halima Mdee na wenzie hakikuwa kwa njia ya video conference kama wakati ule au Mgombea wenu Machachari Lissu hakuvaa barakoa baada ya kuingia nchini?
 
Anazaliwa Baba tayari ni Balozi,

Uongozi upo kwenye bone narrow, Maisha yake yote ya utotoni Baba yupo kwenye Utawala, Baba anatundika Gloves yeye anaingia

Wenzangu na sie ukipata uteuzi ndio unaanza kujifunza kufunga tai kwa mara ya kwanza kwanini usione Binadam wenzio wote Kuku?
Hahahahahah
 
Back
Top Bottom