Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ati kudai kodi za nyuma!Nan amekomolewa? kudai kodi za nyuma sio kukomoa
Sasa kijana ameishi ikulu 10 yrs, baba yake amekuwa waziri many years, kashika nyazifa nyingi strategically, alipata elimu nje ya nchi na ma exposure kibao, ni Mtoto wa mjini anaejua kula bila kufanya majungu + hekima za Mzee ruksa na Mzee Kikwete kwamba umeingia kwa nguvu lakini watendee watu haki ili wasikumbuke dhulma walotendewa ya kuporwa uchaguziKanaonekana kuwa na busara haka kajamaa kuzidi lile dubwasha eeeh?
😂😂😂JPM anaweza kutamani kumtumbua huyu...😃
2025!!??Nilishasema, huyu ndiye next President wa URT...
Angalia haya maneno yake then angalia na hali yetu huku bara.. Huyu atakuja kuonekana kama masia 2025 na kuungwa mkono na kundi kubwa tu na atashinda bila hata mbeleko ya Polisi na NEC..
Watanzania ,watanganyika na wazanzibar wanakatishwa tamaa na baadhi ya wanasiasa na maamuzi yao, hivyo wanaamua kuachana na mambo ya kufatilia Siasa!Msisahau hata Baba lao aliposhika Kijiti 2015 Tulitoa sifa kedekede.
muda utasema.
ni vyema kuwa neutral.
Yes yes2025!!??
Robert ouko.Wa kupewa sifa pekee ni yule BwanaNahisi watamuua maana amewazidi maarifa
Amekwambia ataachia yule bwana?Yes yes
Usijali atotoka mtarudi nyote mliokimbia kufilisiwa tujenge nchiNahamishia biashara zangu Zanzibar naona tunaendana kihekima na huyu Rais mwerevu... Bye bye Dar-es-salaam nlikupenda lakini ntakupenda tena 2025 wateja bidhaa nitatuma msijali
Huyo jamaa yako ni kwikwi.Jamani, Magufuli naye afanye hivi ili wote twende sawa
Labda huwajui wazanzibar wewe! Nenda uone.Nahamishia biashara zangu Zanzibar naona tunaendana kihekima na huyu Rais mwerevu... Bye bye Dar-es-salaam nlikupenda lakini ntakupenda tena 2025 wateja bidhaa nitatuma msijali
Anajua namna ya kupata hizo sheria na hata singapore wanatumia sheria zinazofanana na Texas kwenye masuala ya kodi na uwekezaji na mazingira ya singapore ni sawa na ZNZ ila ZNZ ni mazuri zaidi, hivyo ni uamuzi wake kuifanya masikini au Tajiri.Mzee jazia nyama kuhusu Texas. Mh. Mwinyi yupo humu anakusoma.