Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,009
- 2,934
Rais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye kongamano la Kilimo, kwa sasa yupo Barbados visiwani akisubiri kwenda Cuba kwenye Kongamano la Kiswahili.
Mzee wangu Dr.Mpango yeye yupo kwake Mayamaya Dodoma.
Hivi kweli dhima ya hizo Ziara mnazielewa?
Mzee wangu Dr.Mpango yeye yupo kwake Mayamaya Dodoma.
Hivi kweli dhima ya hizo Ziara mnazielewa?