Rais Mwinyi ziarani China, Rais Samia ziarani Cuba

Rais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye kongamano la Kilimo, kwa sasa yupo Barbados visiwani akisubiri kwenda Cuba kwenye Kongamano la Kiswahili.

Mzee wangu Dr.Mpango yeye yupo kwake Mayamaya Dodoma.

Hivi kweli dhima ya hizo Ziara mnazielewa?
Safari 7 za sindbad.
Niliwaza kumpa kura yangu ila mhhh nafsi imegoma
 
Rais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye kongamano la Kilimo, kwa sasa yupo Barbados visiwani akisubiri kwenda Cuba kwenye Kongamano la Kiswahili.

Mzee wangu Dr.Mpango yeye yupo kwake Mayamaya Dodoma.

Hivi kweli dhima ya hizo Ziara mnazielewa?
Mamaee...tutaita mma...
 
Hatari sana.sheria zinavunjwa Kila siku .Tanganyika imebaki yatima
 
Rais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye kongamano la Kilimo, kwa sasa yupo Barbados visiwani akisubiri kwenda Cuba kwenye Kongamano la Kiswahili.

Mzee wangu Dr.Mpango yeye yupo kwake Mayamaya Dodoma.

Hivi kweli dhima ya hizo Ziara mnazielewa?
Team 'Waswahili. Kama Taifa tumeliwa....'
 
Back
Top Bottom