Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Atapandaje na huku wapambe wake wanataka kusafiri kifalme kwa fedha za wanyogeSaa100 apande Ethiopian, ningeshukuru sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapandaje na huku wapambe wake wanataka kusafiri kifalme kwa fedha za wanyogeSaa100 apande Ethiopian, ningeshukuru sana.
yupo na Dreamliner ya ATCL ile mpya, imagine zaidi ya wiki sasa ndege ya biashara ipo ziarani na Rais, kupanga ni kuchagua kwa kweli.
BarbadosHatujazoea wala kuzoezwa hivi. Mtangulizi JPM alitueza kuona ziara za kila mara au kuhudhuria kanisani St. Joseph.
Mara ya mwisho tumemuona Rais wetu, Bui Samia akiwa nchini Marekani hapa Iowa. Ghafla akapotea na hatujaona akipanda ndege kumrejesha huko nyumbani. Na nyumbani pia mnatuambia hayupo. Je, yuko wapi maana tuna uzoefu. Kama waajiri wake tunahoji Samia yuko wapi?
By Kassim"Yupo anachapa kazi"
Bora asirudi ni hasara kwa taifaHatujazoea wala kuzoezwa hivi. Mtangulizi JPM alitueza kuona ziara za kila mara au kuhudhuria kanisani St. Joseph.
Mara ya mwisho tumemuona Rais wetu, Bui Samia akiwa nchini Marekani hapa Iowa. Ghafla akapotea na hatujaona akipanda ndege kumrejesha huko nyumbani. Na nyumbani pia mnatuambia hayupo. Je, yuko wapi maana tuna uzoefu. Kama waajiri wake tunahoji Samia yuko wapi?
Barbados
Si yupo marekani? Hata Lucas Mwashambwa juzi katı alianzisha thread kulalamika ilikuwaje Maria Sarungi kufahamu kuhusu hiyo safari kabla hata haijatangazwa kuwa atasafiri?Ilianza Hivi Hivi Wakati Wa Mzilankende
Ipo kizimkazi?!Barbados
Binafsi naogopa maana tofauti na siku nyingine hatuambiwi yuko wapi na anafanya nini. Huko kwa waarabu na marekani kunatisha maana tuna shaka yuko mnadani kuiuza nchi kwa mabwanyenye wenye hela. Tuombe mungu atunusuru na hawa kina dubai.Rais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye kongamano la Kilimo, kwa sasa yupo Barbados visiwani akisubiri kwenda Cuba kwenye Kongamano la Kiswahili.
Mzee wangu Dr.Mpango yeye yupo kwake Mayamaya Dodoma.
Hivi kweli dhima ya hizo Ziara mnazielewa?