Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,009
- 2,934
Rais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye kongamano la Kilimo, kwa sasa yupo Barbados visiwani akisubiri kwenda Cuba kwenye Kongamano la Kiswahili.
Mzee wangu Dr.Mpango yeye yupo kwake Mayamaya Dodoma.
Hivi kweli dhima ya hizo Ziara mnazielewa?
Nyumba umeachiwa wewe. Wewe ziarani Bar ?Rais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye kongamano la Kilimo, kwa sasa yupo Barbados visiwani akisubiri kwenda Cuba kwenye Kongamano la Kiswahili.
Mzee wangu Dr.Mpango yeye yupo kwake Mayamaya Dodoma.
Hivi kweli dhima ya hizo Ziara mnazielewa?
Wakiondoka wote unataka nchi iachiwe na nani? Mpango lazima awe standby kama kuna hafla ya uzinduzi au kua mgeni rasmi kwenye sherehe atamuakilisha raisi, hivi kassimu majaliwa yeye iko wapi?Rais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye kongamano la Kilimo, kwa sasa yupo Barbados visiwani akisubiri kwenda Cuba kwenye Kongamano la Kiswahili.
Mzee wangu Dr.Mpango yeye yupo kwake Mayamaya Dodoma.
Hivi kweli dhima ya hizo Ziara mnazielewa?
Hahqhwh mayamayama ndio wapi tena ? Ziara ni nzuri sema zinahitaji assessment kujua return yake kabla ya kuchoma hela and also follow up za kutosha kuhakikisha malengo yanafikiwa...Ziara ni kama Sales & Markerting tu .... Usipofuatilia hakuna mtu atakuletea mlangoni..Rais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye kongamano la Kilimo, kwa sasa yupo Barbados visiwani akisubiri kwenda Cuba kwenye Kongamano la Kiswahili.
Mzee wangu Dr.Mpango yeye yupo kwake Mayamaya Dodoma.
Hivi kweli dhima ya hizo Ziara mnazielewa?
Saa100 apande Ethiopian, ningeshukuru sana.Rais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye kongamano la Kilimo, kwa sasa yupo Barbados visiwani akisubiri kwenda Cuba kwenye Kongamano la Kiswahili.
Mzee wangu Dr.Mpango yeye yupo kwake Mayamaya Dodoma.
Hivi kweli dhima ya hizo Ziara mnazielewa?
yupo na Dreamliner ya ATCL ile mpya, imagine zaidi ya wiki sasa ndege ya biashara ipo ziarani na Rais, kupanga ni kuchagua kwa kweli.Saa100 apande Ethiopian, ningeshukuru sana.
Itaanguk... naye mpango,achukue nch..yupo na Dreamliner ya ATCL ile mpya, imagine zaidi ya wiki sasa ndege ya biashara ipo ziarani na Rais, kupanga ni kuchagua kwa kweli.
Matumizi mabaya ya mali za ummaRais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye kongamano la Kilimo, kwa sasa yupo Barbados visiwani akisubiri kwenda Cuba kwenye Kongamano la Kiswahili.
Mzee wangu Dr.Mpango yeye yupo kwake Mayamaya Dodoma.
Hivi kweli dhima ya hizo Ziara mnazielewa?
Mimi nilipoona tu amekubali kuitwa Dr na huku akijua hastahili kuitwa Dr nikajua hapa hatuna mtuyupo na Dreamliner ya ATCL ile mpya, imagine zaidi ya wiki sasa ndege ya biashara ipo ziarani na Rais, kupanga ni kuchagua kwa kweli.
Itakuwa kama Dubai kupitia fedha za wabara sababu hatuna akiliThe Royal Family World Tour.
Lazima Zanzibar iwe kama Dubai.
wamekuja kuvuna.Itakuwa kama Dubai kupitia fedha za wabara sababu hatuna akili
Lazima tuzuie mali zetuwamekuja kuvuna.