mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
Ukweli kwamba walikuwa HAWAKOPI?Waliokuwa wakitupeleka vizuri ni awamu ya 5. Ni ngumu kumeza ukweli lakini walikuwa wakituambia ukweli. Uchumi wa kujidanganya kwa mikopo ya hovyo na kutumia hovyo ni kujidanganya ya hali ya juu sana.
Dharau tu naona enzi za jiwe kila mtu aliufyata kuanzia kina Mbowe walikuwa kimya over sudden wote wameota mapembe, ndugai yeye alikuwa anasifia tu kila kitu Hadi vya kijingaUnashida mahali yaani akikosolewa kidogo unakimbilia mambo ya maumbile so what? Kama hakiwezi why asing’atuke awaache wanaume waashike nchi
Mambo yakiendelea kama yanavyokwenda hata hiyo 2025 naona kama itakuwa mbali sana; wenye mawazo kama ndugai wapo wengi sana nchini.2025 tutashuhudia mengi.
Ulitaka wapotezwe?Dharau tu naona enzi za jiwe kila mtu aliufyata kuanzia kina Mbowe walikuwa kimya over sudden wote wameota mapembe, ndugai yeye alikuwa anasifia tu kila kitu Hadi vya kijinga
Wanyonge huwa wananyongwa na wanaonyonga tai2025 tutashuhudia mengi. Naona Samia nae kaonyesha misuli yake. Kasema ataendelea kukopa. Ila sasa kama wanakopa hizi tozo zetu zinafanya kazi gani ?Au ndo zinawalipa allowances za safari zao.
Mfano wa vitu alivyokuwa akisifia ni vipi? Tuache bunge lifanye kazi yake bossDharau tu naona enzi za jiwe kila mtu aliufyata kuanzia kina Mbowe walikuwa kimya over sudden wote wameota mapembe, ndugai yeye alikuwa anasifia tu kila kitu Hadi vya kijinga
Lakini sio kukopa ya kujenga madarasa. Madarasa yalikuwa yakijengwa kwa fedha za michango ya wananchi.Ukweli kwamba walikuwa HAWAKOPI?
huna akili wewe, hamtaki kuambiwa ukweli, sasa mfukuzeni sppika muone.Imefikia hatua Spika anamkosoa kila lililo jema na kukubali yasiyofaa. Ukosoaji wa namna hii si afya kwa ustawi wa nchi yetu.
Tabia hii ameanza kuonesha katika hiki cha awamu ya sita. Mbona Rais Magufuli alikuwa anafanya yanayofanywa na awamu hii lakini hakuwahi kukosoa?
Ukosoaji wa aina ya Ndugai ni moja wa ufa hatari sana katika ukuaji wa uchumi na maendeleo ya nchi. Ukiachana na nchi chache sana duniani ambazo zina uchumi imara wa kujiendesha zenyewe, nchi nyingi zinategemea mikopo ili kukamilisha ujenzi.
Spika licha ya kujua umuhimu wa mikopo yenye riba nafuu na masharti rahisi lakini bado anaona mikopo hiyo haifai. Bila kutoa njia mbadala wa kuongeza mapato ya ndani anapinga mikopo nafuu. Je, maendeleo yatakujaje?
Yawezekana Spika kaona siku zake za kukalia kiti cha uspika zimeisha au ana nia na lengo tofauti la kumkwamisha Rais na Mwenyekiti wake.
Rais na Mwenyekiti wangu, nguvu na uwezo wa kumtoa Spika unao, fanya sasa kabla uharibifu wa Spika haujaota mizizi itakayokuwa migumu kuing'oa
Sio kweli jiwe alipingwa sana kuanzia ndani ya CCM Hadi nje.Dharau tu naona enzi za jiwe kila mtu aliufyata kuanzia kina Mbowe walikuwa kimya over sudden wote wameota mapembe, ndugai yeye alikuwa anasifia tu kila kitu Hadi vya kijinga
Deni la taifa lilikua zaidi kipindi Cha awamu ya 5 sasa unachosifia ni nini? Madudu yote aliyofanya kwa kutengezea propaganda zake na ujingi wa wananchi ndio mtaji wao, acha wale nchi tuWaliokuwa wakitupeleka vizuri ni awamu ya 5. Ni ngumu kumeza ukweli lakini walikuwa wakituambia ukweli. Uchumi wa kujidanganya kwa mikopo ya hovyo na kutumia hovyo ni kujidanganya ya hali ya juu sana.
Kwa speeda ya samia unaona mikopo yake tutaishia wapi? Af bora vifanyike vitu vya maana kama kumalizia miradi mikubwa eti tunajenga madarasa ambayo yanazalisha majobless baada ya miaka 15Magufuli alikopa 50% ya Deni ndani ya miaka 5
Nimeshangaa sana watu kushadadia mikopo ya kujenga madarasa...Kweli jamani!Lakini sio kukopa ya kujenga madarasa. Madarasa yalikuwa yakijengwa kwa fedha za michango ya wananchi.
Kwani kuna shida gani ya kujenga kwa michango ya wananchi?
Mikopo ya kuchukua na kupeleka kwenye services ambazo fedha hairudi ni kuruhusu Wakopeshaji wa kimataifa kuchezeq uchumi wetu. Mama aambiwe na alijue hilo.
Tusitengeneze job seekers, tuwe na majob creators, sasa mfumo wenyewe wa elimu ndio tabu tupu, kinachotakiwa ni kubadilisha mfumo wote wa elimu ili wasomi wapate ujuzi na sio kutegemea elimu kupata kazi, watu wengi ambao ni wasomi je wanaweza pata ajira wote?Kwa speeda ya samia unaona mikopo yake tutaishia wapi? Af bora vifanyike vitu vya maana kama kumalizia miradi mikubwa eti tunajenga madarasa ambayo yanazalisha majobless baada ya miaka 15