YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mheshimiwa Rais niulizie Traffic Dar kisa cha kila siku kukamata daladala na kuwadai hela wakati wako kwenye route sajiliwa ni nini?
Basi limesajiliwa Route husika lakini unakuta Traffic kila siku wao kazi kupiga mkono daladala na kudai hela.
Piga marufuku matraffic kukamata daladala ambazo ziko kwenye route husika na hawa traffic wa Dar wahamishiwe vikosi vingine vya polisi mikoani vya Traffic waletwe wapya.
Hakuna wenye kuumia dar kama madereva wa daladala Traffic wamewafanya mradi wao wa kupata riziki ya kila siku.
Siseme hata Takukuru wahangaike nao wapugwr chini wapekekwe vikosi vingine vya polisi hata vya mbwa au farasi wa polisi wote asibaki hata mmoja Traffic.