Rais niulizie Traffic Dar kisa cha kila siku kukamata daladala na kuwadai hela wakati wako kwenye route sajiliwa ni nini?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Mheshimiwa Rais niulizie Traffic Dar kisa cha kila siku kukamata daladala na kuwadai hela wakati wako kwenye route sajiliwa ni nini?

Basi limesajiliwa Route husika lakini unakuta Traffic kila siku wao kazi kupiga mkono daladala na kudai hela.

Piga marufuku matraffic kukamata daladala ambazo ziko kwenye route husika na hawa traffic wa Dar wahamishiwe vikosi vingine vya polisi mikoani vya Traffic waletwe wapya.

Hakuna wenye kuumia dar kama madereva wa daladala Traffic wamewafanya mradi wao wa kupata riziki ya kila siku.

Siseme hata Takukuru wahangaike nao wapugwr chini wapekekwe vikosi vingine vya polisi hata vya mbwa au farasi wa polisi wote asibaki hata mmoja Traffic.
 
Mheshimiwa Rais niulizie Traffic Dar kisa cha kila siku kukamata daladala na kuwadai hela wakati wako kwenye route sajiliwa ni nini?

Basi limesajiliwa Route husika lakini unakuta Traffic kila siku wao kazi kupiga mkono daladala na kudai hela

Piga marufuku matraffic kukamata daladala ambazo ziko kwenye route husika na hawa traffic wa Dar wahamishiwe vikosi vingine vya polisi mikoani vya Traffic waletwe wapya

Hakuna wenye kuumia dar kama madereva wa daladala Traffic wamewafanya mradi wao wa kupata riziki ya kila siku

Siseme hata Takukuru wahangaike nao wapugwr chini wapekekwe vikosi vingine vya polisi hata vya mbwa au farasi wa polisi wote asibaki hata mmoja Traffic
Nafikiri IGP Sirro ndio unatakiwa kumuuliza sio Rais.Watanzania kila kitu Rais?
 
Mheshimiwa Rais niulizie Traffic Dar kisa cha kila siku kukamata daladala na kuwadai hela wakati wako kwenye route sajiliwa ni nini?

Basi limesajiliwa Route husika lakini unakuta Traffic kila siku wao kazi kupiga mkono daladala na kudai hela

Piga marufuku matraffic kukamata daladala ambazo ziko kwenye route husika na hawa traffic wa Dar wahamishiwe vikosi vingine vya polisi mikoani vya Traffic waletwe wapya

Hakuna wenye kuumia dar kama madereva wa daladala Traffic wamewafanya mradi wao wa kupata riziki ya kila siku

Siseme hata Takukuru wahangaike nao wapugwr chini wapekekwe vikosi vingine vya polisi hata vya mbwa au farasi wa polisi wote asibaki hata mmoja Traffic
Mkuu, Makosa ya barabarani ni mengi. Kuwa kwenye route sahihi haimaanishi kwamba unakosa makosa mengine ya Barabarani. Sio kwamba Traffic wamegeuza madaladala mradi bali madaladala yana makosa mengi sana yaani ni Full Vipengele. Nadhani madaladala wenyewe ndio wanapaswa kujirekebisha kuepuka usumbufu wa traffic ..
 
Mheshimiwa Rais niulizie Traffic Dar kisa cha kila siku kukamata daladala na kuwadai hela wakati wako kwenye route sajiliwa ni nini?

Basi limesajiliwa Route husika lakini unakuta Traffic kila siku wao kazi kupiga mkono daladala na kudai hela

Piga marufuku matraffic kukamata daladala ambazo ziko kwenye route husika na hawa traffic wa Dar wahamishiwe vikosi vingine vya polisi mikoani vya Traffic waletwe wapya

Hakuna wenye kuumia dar kama madereva wa daladala Traffic wamewafanya mradi wao wa kupata riziki ya kila siku

Siseme hata Takukuru wahangaike nao wapugwr chini wapekekwe vikosi vingine vya polisi hata vya mbwa au farasi wa polisi wote asibaki hata mmoja Traffic
Acha nongwa na Rais wetu mpya. Wakati huko nyuma traffic wakipewa tuksa ya kupokea huku 5 mbona hukutia neno? Afterall siyo kazi ya Rais wa nchi kuhangaika na traffic wa DSM. Huko hakuna RTO au RPC? Shen.zi!
 
Mkuu wewe si unaccess ya kumpigia cm direct Mama Mwenyekiti..!! Au bado hujatambulishwa kwa Mama?
 
Mheshimiwa Rais niulizie Traffic Dar kisa cha kila siku kukamata daladala na kuwadai hela wakati wako kwenye route sajiliwa ni nini?

Basi limesajiliwa Route husika lakini unakuta Traffic kila siku wao kazi kupiga mkono daladala na kudai hela

Piga marufuku matraffic kukamata daladala ambazo ziko kwenye route husika na hawa traffic wa Dar wahamishiwe vikosi vingine vya polisi mikoani vya Traffic waletwe wapya

Hakuna wenye kuumia dar kama madereva wa daladala Traffic wamewafanya mradi wao wa kupata riziki ya kila siku

Siseme hata Takukuru wahangaike nao wapugwr chini wapekekwe vikosi vingine vya polisi hata vya mbwa au farasi wa polisi wote asibaki hata mmoja Traffic
YEHODAYA baada ya machungu kuisha umeamua kuja kivingine sio.
 
Daladala ndo zinawatajilisha matrafiki hapo dar
 
Back
Top Bottom