Musumbiji wakatae ili Tubaki Tanzania pekeehabari hizi ni za kweli?
Kutoka Tweeter (x)......@lifeof mshamba
Bado zitabaki Zimbabwe, Angola, Namibia na Afrika ya Kusini. Kote ambako Tanzania ilijifanya kusaidia kuleta uhuru ccm waliwafundisha pia kuwa wezi wa kura na kudhulumu maamuzi ya wananchi kwenye nchi hizoMusumbiji wakatae ili Tubaki Tanzania pekee
Nimeikuta tweeter, jaribu ku confirmSidhani kama ni kweli hii... Yani Rais wa Africa akimbie nchi kisa wizi wa KURA 🤔🤔??
Bado zitabaki Zimbabwe, Angola, Namibia na Afrika ya Kusini. Kote ambako Tanzania ilijifanya kusaidia kuleta uhuru ccm waliwafundisha pia kuwa wezi wa kura na kudhulumu maamuzi ya wananchi kwenye nchi hizo
Sidhani kama ni kweli hii... Yani Rais wa Africa akimbie nchi kisa wizi wa KURA 🤔🤔??
Musumbiji wakatae ili Tubaki Tanzania pekee
ANC inatakiwa ing'olewe kabisa na ipotee kama KANU. Ina tabia kama za ccm za wizi na ufisadi. Haipaswi hata kuunda serekali ya mseto.Africa kusini tayari, ndio maana Kwa Sasa Wana serikali ya umoja wa kitaifa. ANC walishindwa kupata hata Asilimia 50 za kura zote. Zimbabwe na Angola ni suala la muda
Hàlari ndo nini? Ebu rudi memkwa.Nauliza, kwanini kuiba kura ni halari kuiba vitu vingine siyo halari Samia Suluhu Hasani Ikulu Mawasiliano Je hiki kizazi gani mnatengeneza?
Ngoja tusubilie taarifa kamili..Nimeikuta tweeter, jaribu ku confirm
Amefundishwa na chama fulani kiko Afghanistan huko.habari hizi ni za kweli?
Kutoka Tweeter (x)......@lifeof mshamba
MaCCM yaliwapa Teknick ya kuiba kura huko Msubiji bahati Mbaya Raia wa Msubiji Wanajitambua
Sasa hivi Wanachinjana Huko'
Chama Tawala sasa kinataka Waunde Serikali ya Mseto Raia Wamegoma Wanataka Ushindi Wao.. Mambo ya Serikali ya MSETO wakaunde na CCM