Tetesi: Rais Nyusi wa Msumbiji atoroka kwa helcopter kukimbia maandamano ya wizi wa kura

Tetesi: Rais Nyusi wa Msumbiji atoroka kwa helcopter kukimbia maandamano ya wizi wa kura

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
habari hizi ni za kweli?
Kutoka Tweeter (x)......@lifeof mshamba

MaCCM yaliwapa Teknick ya kuiba kura huko Msubiji bahati Mbaya Raia wa Msubiji Wanajitambua

Sasa hivi Wanachinjana Huko'
Chama Tawala sasa kinataka Waunde Serikali ya Mseto Raia Wamegoma Wanataka Ushindi Wao.. Mambo ya Serikali ya MSETO wakaunde na CCM
 
Attachments

  • NYUSI.mp4
    841.7 KB
  • msumbiji.mp4
    2.4 MB
  • WANAJESHI WAUNGANA NA WANACHI.mp4
    443.8 KB
Je wananchi tunafaidilika vipi na wuzi wa kura?

Hao viongozi wa serikali mtaa waliopitishwa kiharamu ndio chanzo cha migogoro ta ardhi
 
Bado zitabaki Zimbabwe, Angola, Namibia na Afrika ya Kusini. Kote ambako Tanzania ilijifanya kusaidia kuleta uhuru ccm waliwafundisha pia kuwa wezi wa kura na kudhulumu maamuzi ya wananchi kwenye nchi hizo

Africa kusini tayari, ndio maana Kwa Sasa Wana serikali ya umoja wa kitaifa. ANC walishindwa kupata hata Asilimia 50 za kura zote. Zimbabwe na Angola ni suala la muda
 
Africa kusini tayari, ndio maana Kwa Sasa Wana serikali ya umoja wa kitaifa. ANC walishindwa kupata hata Asilimia 50 za kura zote. Zimbabwe na Angola ni suala la muda
ANC inatakiwa ing'olewe kabisa na ipotee kama KANU. Ina tabia kama za ccm za wizi na ufisadi. Haipaswi hata kuunda serekali ya mseto.
 
habari hizi ni za kweli?
Kutoka Tweeter (x)......@lifeof mshamba

MaCCM yaliwapa Teknick ya kuiba kura huko Msubiji bahati Mbaya Raia wa Msubiji Wanajitambua

Sasa hivi Wanachinjana Huko'
Chama Tawala sasa kinataka Waunde Serikali ya Mseto Raia Wamegoma Wanataka Ushindi Wao.. Mambo ya Serikali ya MSETO wakaunde na CCM
Amefundishwa na chama fulani kiko Afghanistan huko.
 
Back
Top Bottom