Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Cha kufanya??Kuna CCM,ZANU PF,FRELIMO,MPLA na wale waasi wa zamani kama Museveni,Kagame na wengine wachache ndiyo wamekuwa tatizo Afrika hasa ukanda wetu huu wa Kusini mwa jangwa la Sahara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha kufanya??Kuna CCM,ZANU PF,FRELIMO,MPLA na wale waasi wa zamani kama Museveni,Kagame na wengine wachache ndiyo wamekuwa tatizo Afrika hasa ukanda wetu huu wa Kusini mwa jangwa la Sahara.
Kama wananchi tupo tayari ni kulianzisha tu,Cha kufanya??
Kweli kabisaAfrica kusini tayari, ndio maana Kwa Sasa Wana serikali ya umoja wa kitaifa. ANC walishindwa kupata hata Asilimia 50 za kura zote. Zimbabwe na Angola ni suala la muda
TANZANIA WIZI PEKEE AMBAO UNAKUBALIKA NA KILA MMOJA SERIKALINI KUANZIA RAIS HADI BALOZI WA NYUMBA KUMI NI WIZI WA KURA. UKIWA KWENYE MAZINGIRA YA KURA , SERIKALI ITAKUHAKIKISHA ULINZI WA HALI NA MALI ZAKO ZOTE.Nauliza, kwanini kuiba kura ni halari kuiba vitu vingine siyo halari Samia Suluhu Hasani Ikulu Mawasiliano Je hiki kizazi gani mnatengeneza?
Hao majizi hawawez kutoka labda kwa mtutu wa bunduki.Kuna CCM,ZANU PF,FRELIMO,MPLA na wale waasi wa zamani kama Museveni,Kagame na wengine wachache ndiyo wamekuwa tatizo Afrika hasa ukanda wetu huu wa Kusini mwa jangwa la Sahara.
Sio kwamba ANC walishinda Kihalali?Bado zitabaki Zimbabwe, Angola, Namibia na Afrika ya Kusini. Kote ambako Tanzania ilijifanya kusaidia kuleta uhuru ccm waliwafundisha pia kuwa wezi wa kura na kudhulumu maamuzi ya wananchi kwenye nchi hizo
Nyusi anajutia kupokea ushauri wa CCM wa namna ya kupora maamuzi ya wananchikwenye uchaguzi.habari hizi ni za kweli?
Kutoka Tweeter (x)......@lifeof mshamba
MaCCM yaliwapa Teknick ya kuiba kura huko Msubiji bahati Mbaya Raia wa Msubiji Wanajitambua
Sasa hivi Wanachinjana Huko'
Chama Tawala sasa kinataka Waunde Serikali ya Mseto Raia Wamegoma Wanataka Ushindi Wao.. Mambo ya Serikali ya MSETO wakaunde na CCM
Wameshinda kihalali ila ushindi mwembamba. Ccm kwa sasa tumesikia ina export mbinu za wizi wa kura. Watawafundisha. Japo wazulu hawatakubali kirahisi ujinga wa ccmSio kwamba ANC walishinda Kihalali?
Na Namibia nako SWAPO hali si shwari kabisa.
Thibitisha.habari hizi ni za kweli?
Kutoka Tweeter (x)......@lifeof mshamba
MaCCM yaliwapa Teknick ya kuiba kura huko Msubiji bahati Mbaya Raia wa Msubiji Wanajitambua
Sasa hivi Wanachinjana Huko'
Chama Tawala sasa kinataka Waunde Serikali ya Mseto Raia Wamegoma Wanataka Ushindi Wao.. Mambo ya Serikali ya MSETO wakaunde na CCM
Hii inakuja Tz mwaka kesho. Maandalizi yameanza kufanyika janahabari hizi ni za kweli?
Kutoka Tweeter (x)......@lifeof mshamba
MaCCM yaliwapa Teknick ya kuiba kura huko Msubiji bahati Mbaya Raia wa Msubiji Wanajitambua
Sasa hivi Wanachinjana Huko'
Chama Tawala sasa kinataka Waunde Serikali ya Mseto Raia Wamegoma Wanataka Ushindi Wao.. Mambo ya Serikali ya MSETO wakaunde na CCM
Hili halina muda mrefu, tuombe uzima tu ndugu yangu.Na huku Tanzania ni suala la muda tu waache CCM wajifanye vichwa vigumu uvumilivu Huwa una mwisho wake
Acha tuendelee kuburuzwa tu, kama wapiga kura ndio hawaHàlari ndo nini? Ebu rudi memkwa.
FRELIMO wamekuwa wakishindwa chaguzi nyingi sana, huwa wanabaki madarakani kwa figisu.Bado zitabaki Zimbabwe, Angola, Namibia na Afrika ya Kusini. Kote ambako Tanzania ilijifanya kusaidia kuleta uhuru ccm waliwafundisha pia kuwa wezi wa kura na kudhulumu maamuzi ya wananchi kwenye nchi hizo
Za ndani kwa kina :Vyama kongwe dola katika mtihani mzito nchi za SADC