Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Wanasema kichaa kapewa rungu
Mkuu, kwani wamarekani weusi wa Tandale wanasemaje??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kwani wamarekani weusi wa Tandale wanasemaje??
Mimi nijjuavyo maagizo hayo ni kuwaweka tayari Ili atakayeingilia Huo mgogoro basi ndio ziwe deployed!Mkuu haujajibu swali langu, ni hivi hilo bomu la nuclear alifyatua wao hawafii? na kama litawazuru kwanini watumie silaha ya mwisho, ni kwamba wamezidiwa
Mkuu sio lazima uone, ushuhudie ama uwepo sehemu ya tukio ndio unaweza kuchambua mstakabali mzima/wote wa jambo husika. Mfano: sisi sote hatupo uwanja wa Vita. Lakini mgogoro huu sisi sote tunaufahamu chimbuko lake na ulipoanza: Kiongozi wa Urusi alimwona na kumtaka Rais wa Ukrein nchi yake ni budi watii amri na maagizo yake kitu ambacho aliona sio sahihi nchi nyingine imwingilie katika uendeshaji wa nchi yake na aka kataa ushauri wake. Baada ya kukataa ushauri/maelekezo akamwabia nitakupiga kipigo cha mbwa koko, kweli akaingiza jeshi akitegemea ndani ya siku mbili tatu ataiteka nchi; haikuwa hivyo, baadaye anasema sasa nitatumia silaha za nuclear: ebo imekuwa hivyo tena.
.
Sasa wewe kwa akili yako huwezi kuona huyu jamaa ameshindwa. au yale malengo yake ya awali yamekwamaa. Mkuu sio lazima uwe uwanja wa vita: ukiunganisha doti, hoja na dondoo mbalimbali kama una akili mzuri katika kuchambua mambo na hasa masuala ya operation za kivita utajua tu nani kazidiwa.
Wakuu wenzio wakuomba na kukushauri kuachana na mambo ya ugomvi wewe HUTAKI na hata kuwasikiliza HUTAKI unang'ang'ania mambo ya kibabe unaposhindwa unawaomba mkae vikakao, wakikataa unatafuta mishale ya sumu na magobole, silaha ambazo mwenzio hana: Wewe si MBABE sasa NUCLEAR wapi na wapi?
MarekaniNani aligundua silaha za nyuklia?
Ni intelligence failures, siku hizi majeshi ni very last option. I believe hii vita Russia angeweza kushinda kijasusi tu.Putin alipewa forum ya kimataifa kwa viongozi mbalimbali wa dunia kumtembelea na kmshawishi asianzishe vita lakini akaghairi. Ni nini kinachomlainisha leo kama siyo baada ya kukutana na kizingitu huko. Yeye alitaka aangushe serikali ya ukraine kusudi aweke ya kwake; amekwama ile mbaya. Na mambo bado kabisa kwani nchi zote za Ulaya zimeahidi kupeleka silaha za kutosha Ukraine.
Nchi moja haiwezi kutunga sera za nchi nyingine hata kidogo; inaweza kushawishi lakini haiwezi kulazimisha sera. Yeye ataipangiaje Ukraine jinsi ya kuendesha sera zake za mambo ya nje kama siyo ujinga wa kudhani bado ana USSR. ALikuwa na mwanya wa kushawishi, akashindwa. Ushwaishi wake yeye ni wa kutumia mabavu kuweka serikali kama ya kwake ambayo rais wake ni mungu mdogo na ni rais wa maisha. Ushahwishi huo uko belarus tu, nchi nyingine zote zilizokuwa chini ya USSR pale maeneo ya Baltic zilikataa ujinga huo; Ukraine nayo haiutaki, na Georgia nayo haiutaki.
Kudai anataka mazungumzo lakini sera za mambo ya nje za Ukraine lazima ziwe kama anavyotaka yeye ni ndoto ya kitoto tu.
Marekani
Unafuatilia habari lakini? Aliposhauriwa diplomacy akamquestion kama anapinga decision ya uvamizi jamaa akajibu kwa kubabaika sana then akamwambia nenda kakae mpaka aibu.Wewe upo Tanzania unajuaje hajamsikiliza watu wake?
Putini mwehu tu, hapo kwenye ahadiyake ya kuwachakaza watakao msaidia Ukraine sijui anajiskiaje saizi watu wanavyo peleke misaada waziwazi na hafanyi chochote.Aliemshauri hii vita kampeleka vibaya, kwanza hakufikiri angepata upinzani mgumu namna hii, na naona mwisho wake u karibu, kila kukicha anakutana na hali ngumu, financial institutions zake ziko isolated, 4 major banks zimekua disconnected from swift, central bank ya russia haiwez tena ku deploy reserve, masoko yoote ya hisa makampun yoote yamefutwa, Nord stream 2 ishasahaulika, leo ndege zake zoote zimepigwa ban europe space, nchi kibao kwa sasa zinapeleka misaads ya kijeshi ukraine, hata ile speach yake ya atakaeingilia atakiona haina mashiko watu wametoka hadharani wakatoa silaha, uk leo imeenda mbali zaid ikatoa mpaka wanajeshi, sasa anasema eti nuke ikae tayari kuzuia sasa sio kupiga tena ni kuzuia
Huku kwetu haya yana bebea mavi tu,kwani wao wameweka nn humo?🤣🤣🤣 ENYI WAUKRAINE MSINILILIE MIMI PUTIN BALI WALILIENI MAWAZIRI WENU WALIOPIGA KULA YA MIHEMUKO KUJIUNGA NA NATO
View attachment 2133233
Tatizo unafuatilia BBC.Unafuatilia habari lakini? Aliposhauriwa diplomacy akamquestion kama anapinga decision ya uvamizi jamaa akajibu kwa kubabaika sana then akamwambia nenda kakae mpaka aibu.
Sasa mimi na wewe nani anaongea kishabiki?Usiongee kishabiki Putin hajashindwa vita ila alishaonya ya kuwa atakae isaidia Ukraine atajuta sasa huyu mtu atishii anamaanisha huyu wanachokosea ulaya ni kutangaza kuwa tumetoa silaha mara wanajeshi sasa Putin anakwenda kufanya unyama mkubwa mno.
Hata kuivamia Ukraine mliita mikwara,now Ukraine inachakaa.Soon itakuwa majivu.
Putin now hachek na mus*nge.
Kuna siku uliwahi kuyaona ya nato au usa?Tunahitaji viongozi bora kama hawa. Mashoga wakasome. Viva Putin viva Kim Jong UnView attachment 2133325View attachment 2133326View attachment 2133327
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Sio mimi, ni Putin mwenyewe kukimbilia kuomba mazungumzo na kuanza kutishia nyuklia.. Hizo ni dalili za kuzidiwa.yaani wewe uko tz unakula ugali,umeshahukumu kuwa russia kashindwa vita?utani mwingine mbaya sana..
Nilipomsikiliza Joe Biden, moja kwa moja nilijua Putin anaenda kuwekwa mtu kati.Atakamatwa Kama Kuku Timing Zinaendelea Na Atapitia Ya Sadam,Gaddafi
Mh, hivi kama Ukraine tu imekuwa tatizo hivi anaweza kuangamiza Marekani pamoja na mataifa ya ulaya huyu Putin? I dought it, hata hivyo tuachane na Putin, mimi namuona kama dikteta aliyelewa madaraka.Hata kuishambulia Ukraine mlisema ni mikwara tu na amefanya kweli, sidhani kama Russia itakubali kushindwa hii vita wakati ina silaha za maangamizi bora wakose wote, ndio kinachoenda kutokea, waangamizane kisha China iinuke kuwa super power, labda na sisi huku Afrika tutaweza kupiga hatua ya maendeleo kidogo