Rais Putin amejaa vitisho na mikwara ila hatoweza kuwashinda Wamarekani

Hapa mshindi anapata nini ?

Ni rahisi kwa Marekani kuchochea Vita kwa maneno wakati wapiganaji ni wengine ila ikija toe to toe...., ni ngumu (Public Sentiment inaweza ku-force asifanye anachotaka kufanya) Ulizia Vietnam..., prolonged war ni threat kwa administration iliyopo in power (hususan kama hiyo ita-involve human lives za wananchi (ingawa hapa ana advantage anaangalia hii issue kwa darubini)

Kilichobaki ni Propanga na US kuwa upande wa NATO ila wengine kina China wakiwa upande wa Russia pia ni advantage kwao..., Marekani anaweza ku-gain soko la LNG yake kwa kuwa-convince NATO wasifanye Trade na Russia (ingawa LNG ni gharama kulipa Piped Natural Gas) pia Russia akipata uungwaji mkono na China potentially hilo ni soko kubwa Russia..

Unaongelea Propaganda za kumuondoa Putin..., jiulize hata kwa Public wanamuonaje America ?, Je wanaweza kuside na America kwa kupigwa Propaganda (No love lost between Russia and America)....

Kwa kumaliza No one Wins a War...., Ingawa in this instant Marekani ni kama yupo kwenye Playstation yeye anaangalia kwa mbali (vita vingekuwa on his shores he could have been singing a different tune)
 

Na huyu bahati yake kakutana na wazee hawa Wapole!!!! Angekutana bush na hakika mpaka dakika hii asingekanyaga iyo ardhi ya Ukraine
 
Size ya NATO ni Libya na Venezuela, labda. Not Russia
Hapo hujakosea kabisa Mkuu

 
Hawajui historia. Wanachojua tu siku zote hawa vibwetere ni kwamba Marekani kila wakati yuko sahihi--the so-called kiranja wa dunia. Pathetic!
 
Labda hujui,, Russia ana silaha kali kuzidi US hasa makombora,,
Marekani wao wana ndege kali kuzidi Russia, yaani for show,, lakini kwenye utendaji kazi, ndege za Russia zina firepower kubwa kuliko ndege za marekani,
Hata ukicheki performance ya ndege za mrusi syria ndo ziliwakalisha chini ISIS,
Marekani wanaweza kufanya mashambulizi sort 30 per day,
Mrusi yeye alikuwa anapeleka hadi sorties 100 kwa siku huko syria,, na hapo marekani anatumia hadi ndege ziko katika aircraft carrier,
Ndege ya mrusi ilikua inaweza kunyanyuka Russia na kuachia kombora ikiwa huko huko anga la Russia, na kombora likaja kupiga syria,, umbali wa kama km 5000
 
ISRAEL hata IRAN hamuwezi afu unalinganisha na URUSI we jamaa vipi
 
Utakuta mapiganoooooo miaka kadhaa,halafu Putin anakamatwa ananyongwa hah! Kama Sadam ilikuwa hivihivi
 
Marekani na israel wana maslahi makubwa sana ukraine,,
Kiufupi kama ukraine ingeingia NATO,, yaani ingekuwa ni chi yenye jeshi kubwa NATO baada ya US, Turkey,,
Ukraine ina jeshi kubwa, na mrusi kama hawatasalenda, ana kazi kubwa kweli kweli kuwatuliza,,,
Ndo maana Russia ameanza SEAD OPERATION mapema ili kuharibu uwezo wa ukraine kujihami dhidi ya mashambulizi ya ndege za Russia
(SEAD-Suppression of Enemy Air Defence operation)
 
Russian dirty money [emoji383] zimeingia sana UK na wenyewe wapo zaidi ya 20 na wote millionaires na billionaires wamepewa Gold Visa na Uingereza kwa upendeleo wa hela zao ili zizungushe uchumi wa [emoji636]

Putin hakuzizuia kwani anayajua yote

Siasa ni mchezo mchafu sana huwezi jua nani rafiki wa nani
 
2020 Mchina alituchagulia maisha ya dunia kujifungia na kunawa mikono hadi leo.
Na sasa Putin ameamua aharibu uchumi wa dunia.
Yetu macho na sala
Acha tu hawa mijusi wanaivuruga sana dunia. Hao US wakae kimya waachane na ya Ukraine. Wao nani aliwasumbua walipovamia Libya, Iraq, Afghanistan n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…