Rais Putin amejaa vitisho na mikwara ila hatoweza kuwashinda Wamarekani

Ushauri potofu, dunia ya waliostaarabika haiwezi kukaa kimya ikiangalia uonevu wa wazi ukiendelea. Nato na us tayari wako mpakani mwa Ukraine...tusubiri majibu ya vipimo
Ni kweli[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Putin lengo lake ni kumpindua Rais wa Ukraine aliekuwepo na kuweka puppet wake .Urusi wanataka kuweka Rais mpya Ukraine atakaefuata maagizo ya Putin.
Kama ambavyo marekani wamemuweka huyo raisi aliyepo saivi
 
Vita ya nyuklia hapatakuwa na mshindi
 
Siku mkijua kwamba NATO 28+ USA countries iliundwa kwa lengo la kupambana na Urusi ndipo mtajua uwezo wa mrusi.
USA mwenyewe anajua uwezo wake ndio maana akaunda umoja huo umusaidie kupambana na Urusi,halafu anatokea Mmatumbi mmoja anakuambia Russia sio kitu.
 
Kwani hauwezi kuchangia bila kumuattack mleta maada ?Kwa nini umuambie mleta maada hana akili ?
Utafikiri kanaweza pigana sasa na tumatusi twake kumbe ukikawekea ringtone ya kubweka kwa mbwa kanazimia
 
Wamejitahidi Sana na bila Shaka hawataweza
 
#BREAKING US expects that [emoji1255] Kiev to fall in 96 hours – Newsweek
 
Hizo ni ngonjera za Boris Johnson, waziri mkuu wa Uingereza, usizizingatie sana, hawana cha kufanya zaidi ya kukimbilia vikwazo.

Waingie mzigoni wao kama NATO (nchi zaidi ya 20)

Kwani hivyo vikwazo si kitu? havina madhara? Havihofiwi?
 
Warusi wanajulikana ni wapiganaji vita wazuri,, na hii ni pamoja na wa ukraine, masna walikuaga nchi moja ,
Hawa wamarekani, wafaransa, waingereza, nchi za marekani, wamezoea luxury,, hawawezi mapambano na Mrusi kamwe
Kipi bora upigane kwa kutuma machuma huku wewe ukiwa chumbani kwako, au upeleke watoto wa masikini wanaotegemewa na familia zao wakapigane na machuma?

Wenzio wanatumia drone wewe unasema unawapiganaji wazuri,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…