Rais Putin amekubali kuuza Su-35 kwa Iran!

Wanaenda kwanza Yemen kwa Houthi
 
Sasa kama Urusi ana mitambo hiyo kwa nini anasumbuana na Ukraine
Urusi akihamua anamaliza vita mapema tu anachofanya anatia hasara Marekani na Nato anarefusha vita anajua watachoka kumsadia Ukraine, Marekani wameishasema hawatoi pesa tena🤣
 
Iran imeshambulia Israeli, mara mbili, na shambulio kubwa zaidi la ndege isiyo na rubani katika historia na shambulio kubwa zaidi la kombora la balestiki katika historia! Israel haijajibu! Tel Aviv inajisalimisha kwa Tehran! Iran yashinda Vita!!
.
Usianze kushangilia wakati mapambano yanaendelea....tusubiri tuone Israel italipiza vipi kisasi.
 
⚡️Hezbollah: Saa 8:05 Usiku Alhamisi, Oktoba 10, 2024, ililenga kikosi cha adui cha Israeli kilipojaribu kwa mara ya nne kuwaokoa watu waliojeruhiwa kwenye gari lililokuwa likilengwa katika eneo la Ras al-Naqoura kwa msururu wa roketi.

Mara ya NNE leo wanaweza kuwa wajinga kiasi gani?!😂
 
Nimelia sana nilipokumbuka siku ile JWTZ wanafanya maadhimisho yao zilipita MiG 21
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…